Wasanii wa Bongo Flava Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii
Wasanii hawa wanaendelea kutengeneza maudhui machafu yanayozidi kusambaratisha maadili ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla kwa kupandikiza vishawishi vya ngono...
Mm kunichekesha si rahisi sana ila hawa madogo wanaitwa MABANTU Leo nimeona video yao inaitwa Mali safi nimecheka.
Safi vijana tumechoka tu kuona vixen wenye chura kwenye video za bongo.