Wadau,
Kuna huu mwongozo ulitolewa na Katibu Mkuu TAMISEMI mwaka 2021. Bati mbaya haupo kwenye tovuti ya wizara. Nitaupata wapi?
Kama mtu ana nakala yake tafadhali nitumie.
Shukrani sana.
Mimi ni mfuatiliaji mkubwa wa masuala ya kisiasa hapa nchini.
Nimeona zoezi la maandalizi ya uchaguzi wa viongozi Serikali za mitaa lilivyoanza na linavyoendelea.
Pia nimesikiliza matamko ya viongozi wa CHADEMA kuhusu mwenendo wa zoezi hilo. Niwe muwazi, kuna mambo baadhi hayajajulikana na...
Nilikuwa na jambo langu ambalo limeshaisha kwenye haya mabaraza/mahakama kitengo cha ardhi, huwa wateja tunakaa na wanaita kesi ili wahusika wafike sehemu husika.
Kesi zilizojaa ni mtu flani vs NBC, flani vs CRDB, ABC Ltd vs NBC etc. Wakili mmoja akaniambia nyingi zinachelewesha tu mabenki...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema atavunja mabaraza ya madiwani yenye mivutano inayokwamisha maendeleo ya wananchi.
Waziri Mchengerwa ametoa kauli hiyo wakati wa kukagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya inayojengwa Kata ya Kibelege...
SERIKALI YAAHIDI KUCHUKUA HATUA KALI ZA KISHERIA KWA MABARAZA YANAYOFANYA MAAMUZI YA MIGOGORO YA ARDHI KWA MIENENDO YA RUSHWA
"Lini Serikali itahamisha Mabaraza ya Ardhi kwenda kwenye mfuko wa Mahakama?" - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya
"Katika jitihada za kuboresha mfumo...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour kuhakikisha anazisimamia Taasisi za Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) na Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) kuhakikisha zinaunda Mabaraza ya Wafanyakazi ambayo yanaundwa kwa mujibu wa...
Hawa wadau wanaoitwa wadau wa mabaraza ya demokrasia tangu 2021 wao ni vikao tu. Leo wako Dar kesho Dodoma keshokutwa Arusha.
Kwa miaka miwili hatujaona impact wanazunguka tu kama mpira wa kona.
Kwa kuwa wao ndio wenye Nchi waache kujisumbua tu.
Swala la demokrasia ni gumu kwao.
Wafanye...
MHE. CONDESTER SICHALWE - ELIMU YA DIPLOMASIA YA UCHUMI ITOLEWE KWENYE MABARAZA YA MADIWANI ILI IWAFIKIE WANANCHI
"Diplomasia ya Uchumi ni kipaumbele cha Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki. Bajeti iliyopita nilichangia kuhusu vikwazo vya wafanyabiashara wanaoliendea soko la...
Waswahili wana msemo Tabia hushawishi kwenye kundi mkitembea wacha Mungu na wewe utakuwa mwenye kumcha Allah, mkitembea Wezi pamoja na wewe utakuwa miongoni mwa wezi, Ukitembea na viongozi bora na wewe utakuwa miongoni mwa viongozi bora.
Msemo huu unaumba kwa muktadha huu.
1. Rais Samia...
MHE. RIDHIWANI AZINDUA KIKAO CHA WENYEVITI MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA, ASISITIZA UADILIFU NA KUKEMEA VIKALI RUSHWA.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Aprili 05, 2022 amezindua Kikao kazi cha Mafunzo kwa Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba wa...
Kwa sehemu kubwa Wilaya nyingi hapa nchini zina Mabaraza ya Ardhi yanayoshughulikia migogoro ya ardhi.
Hivi karibuni yameundwa mabaraza mapya ya Ardhi kwa lengo la kukidhi mahitaji kwa wilaya kadhaa.
Lakini tatizo linalojitokeza ni uhaba wa wenyeviti katika mabaraza mapya yaliyoundwa na hata...
Shida zenyewe ni hizi:
1. Yana Mwenyekiti mmoja ambaye anaweza kuwa anahandle kesi za wilaya kama 3 mfano Tanga DLHT kama sikosei (stand to be corrected) ana cater for, Korogwe, Pangani, Kilindi kuna Mwenyekiti mmoja.
Backlog ni kubwa kiasi mtu case inapigwa kalenda/tarehe miezi sita!/mitatu...
Abidjan, Ivory Coast, Tarehe 26 Agost,2021.
TANZANIA YANG’ARA UCHAGUZI WA MABARAZA YA UMOJA WA POSTA DUNIANI(UPU)
Tanzania imefanikiwa kupeperusha vema bendera yake kwenye Mkutano Mkuu wa 27 wa Umoja wa Posta Duniani unaoendelea jijini Abidjan, Ivory Coast, baada ya kuibuka kidedea katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.