Haya wenye Mbeya Yao haooo wamerejea na ratiba ya saa tisa na kumi na Moja usiku baada ya Kumalizia kifungo Cha LATRA.
Ni kama tuu Newforce walikuwa likizo ya services
=======
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imerudisha ratiba na leseni za mabasi 38 ya kampuni ya New Force kuanzia...