Kama kuna ruti ina mabasi mapya na kila siku ni Arusha - Dar
Makampuni ya usafirishaji ni mengi mpaka yale makongwe yanapitwa sasa. Kuanzia Tilisho, Esther Luxury, Extra Luxury, Jader Luxury, wote huko mabasi ni makali sio kwa safari za Usiku au Mchana.
Sasa nauliza, ile treni ya Arusha Dar...