Wakuu nipo kahama natafuta kazi ya kupiga debe kamahama stendi
Yeyote mwenye connection na magari nipo tayari kufanya kazi na campun yeyote nipo vizuri katika kushawishi na kuongea
Msaada wana jamiiforums
Kweli wapambe wa tajiri wana nguvu.
Tayari wapambe walishaenda kampala na kisanganj kuangalia njia na kushughulikia vibali, japo wengine wana mshauri center iwe Kampala to Juba na Kampala to Ben, huku wakimweleza kisangani aende baadae.
Mmiliki wa mabasi ya Classic nae anachekelea apate...
Stand ya Kibo Complex Tegeta imekuwa kubwa na kuna Wakati unakuta mabasi Zaidi ya 10 yanapakia Abiria hasa safari za Usiku Tanga, Moshi na Arusha
Ni vema kikajengwa kituo kidogo Cha Polisi
Nawasilisha!
Kwa hali ilivyo sasa madereva kupigwa mpaka kuuwawa, abiria kushushwa kwenye mabasi kimafia na kuuwawa na matukio mengine mengi ya kiharifu, ni bora wamiliki wa mabasi mkafunga Camera hizi kwenye mabasi.
Kama mnafunga ving'amuzi inashindikanaje kufunga Camera japo kwenye lango la kuingilia...
Safari za mabasi za usiku zilikuwepo kitambo,Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani akazifutilia mbali.
Alijua akili zetu watanzania,madereva wetu hawana uwezo wa kuendesha usiku,kichwa kimejaa bange,pombe,madeni,michepuko huku unabeba roho za watu.
Watatumaliza
Nawasilisha hili kwa wasafiri wenzangu wa mara kwa mara na kwa wenye nafasi ya kufikisha taarifa hii kwa wahusika. Kuna kampuni ya usafirishaji abiria inaitwa Nacharo Royal Bus, ambao hufanya safari za Tanga Dar nk. Kuna hili bus lao moja usajili wake ni T 706 DVF ni chafu linanuka uvundo na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani limefanya ukaguzi wa mabasi ya abiria katika Stendi Kuu ya Mabasi kabla ya kuanza safari na kuwataka madereva kuzingatia Sheria, Kanuni, Alama na Michoro ya Usalama Barabarani ili kuepuka ajali.
Akizungumza Disemba 23, 2023...
Hakuna tena kukosa mechi au vipindi vya AzamTv ukiwa safarini.
Baada ya AzamTv kuleta ving’amuzi ambavyo unaweza ukafunga kwenye magari, mabasi ya mikoani yamechangamkia fursa.
Mabasi kama Mallesa, Achimwene na Shabiby yashafungwa na wateja wana enjoy.
Tumpe mzee Bakhressa maua yake ayanuse...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeruhusu Mabasi ya abiria kufanya usafirishaji wa Saa 24, baaada ya kujiridhisha kiusalama, mwamko wa wananchi, huduma za mawasiliano pamoja na miundombinu ya usafirishaji.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Nchi, Jumanne Sagini wakati...
Kwa miaka 9 mfululizo kampuni ya Yutong ya China imekuwa kinara kwa kuuza mabasi mengi zaidi duniani.
Utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria imekuwa biashara kubwa yenye ushindani hasa mabasi ya umeme. Mabasi yamekuwa yakitengenezwa kwa kazi na makusudi tofauti tofauti.
Kinachoangaliwa...
Jeshi la Polisi limetoa maagizo kwa makamanda wa mikoa yote nchini kuhakikisha wanafanya doria katika barabara zote zitakazotumiwa na mabasi yatakayokuwa yanafanya safari zake saa 24 katika kudhibiti aina zozote za kihalifu.
Huo ni utekelezaji wa agizo lilotolewa, Juni 28, mwaka huu na Waziri...
Kuna mambo mawili binafsi yananikera katika usafiri wa mabasi ya ruti ndefu tz.
1. Mabishano ya wanaoitwa wanazi wa makampuni ya mabasi juu ya ubora wa gari zinazotumika na kipimo ni mwendokasi.
2. Betting ya basi lipi litawahi kufika eneo Fulani.
Yote haya yanachochea mwendokasi na rafu...
Hamjambo!
LATRA imetoa kibali cha ruhusa kwa mabasi ya Abiria wa mikoani kuanza safari kuanzia saa 11 alfajiri badala ya saa 12 kama ambavyo imezoeleka.
Kwa mujibu wa Taarifa kutoka LATRA, kikao cha wadau kimeafikiana uamzi huo hasa kwa Mabasi ya masafa marefu.
Kwa uamzi huu, abiria jiandae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.