mabasi ya azam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Tetesi: Kampuni ya Azam kuanza usafirishaji wa Abiria kwa njia ya Mabasi hivi karibuni

    Kumekucha. Ni neno pekee utakaloweza kulitumia kwa sasa. Yule mfalme wa biashara zote, Said salim Bakhresa anaingia barabarani rasmi muda sio mrefu. Anaanza na Dar hadi Arusha, Dar hadi Dodoma na Kigoma hadi Bukoba. Baadae atajitanua taratibu nchi nzima. Source: Mnyetishaji ndani ya kampuni.
Back
Top Bottom