Wakuu,
Trump aliahidi kusitisha misaada kwa nchi za Afrika pindi atakapoingia madarakani kutokana na kile kinachosemwa matumizi mabaya ya viongozi wa Afrika ambao wanatumia misaada hiyo kwa shughuli zao binafsi.
Sasa amekalia kiti utekelezaji umeanza, misaada yote imesitishwa kwa miezi 3...
Yale mabasi ya CCM ya rangi ya kijani yamewakera mno watanzania kwani wao wametafsiri ni kufru na upotevu wa Hela zao (watanzania wanaamini Ile ni Kodi yao na sio vyanzo halali vya ccm) kiufupi maskini wa nchi wanaona mmewaringishia Tena January hii wakati wao hawana ada za watoto wao.
CCm ndio Serikali yenyewe
Kitendo cha awamu hii ndani ya miaka 5 mmeshindwa kuwaletea wananchi mabasi ya mwendokasi watu wanapata mateso alafu nakuja kuona yutong za ccm kma 30 na ushee zimeshuka hapo bandarini kama kutakuwa na tume huru basi huu mkoa wa Dar hata jimbo moja hamuwezi chukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.