Kutokana na changamoto ambazo zimekuwa zinawakumba Watu wenye ulemavu pamoja na wale wenye mahitaji maalumu pindi wanapotumia usafiri wa umma, Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar (DART) ilijipambanua kwa kuzingatia kipaumbele cha huduma rafiki kwa makundi hayo suala ambalo lilipigiwa chapuo...
MRADI WA MWENDOKASI: MIFANO HALISI YA WIZI WA FEDHA ZA UMMA
Mradi wa Mwendokasi (BRT) ni kielelezo cha namna miradi mikubwa inavyogeuzwa kuwa mashamba ya mafisadi badala ya kuwanufaisha wananchi wa kawaida. Tunaposema Tanzania ni nchi ya wizi na rushwa, hatusemi kwa dhana tu—tuna ushahidi wa...
Licha ya awali usafiri wa Mwendokasi kuvutia watu wengi lakini kwa siku za hivi karibuni abiria wengi wamekuwa wakilalamikia changamoto mbalimbali ambazo zinajitokeza kwa nyakati tofauti.
Kwa kipindi kirefu kidogo (wastani wa miezi sita) niliamua kujipa jukumu la kizalendo kufuatilia suala la...
Huduma ya mabasi ya mwendokasi inazidi kuwa mbovu, wahudumu na madereva wananyanyasa sana abiria, tunacheleweshwa vituoni zaidi ya saa mbili na inakuwa kero tunachelewa makazini.
Serikali imeshindwa kabisa kusimamia huduma hii, heri iwape wawekezaji katika sekta ya usafiri wao watajua uchungu...
Anonymous
Thread
huduma mbovu mwendokasimabasiyamwendokasimwendokasi dar
Siku sio nyingi katika ukurasa wa @scaniatanzania walitoa taarifa za kuhusu ujio mpya wa mabasi mapya ya mwendokasi.
Upande wangu mradi utakua mzuri kama mradi utafanyika bila kuwa na mkono wa pande yoyote serikali au viongozi
-kwa sasa Mabasi yatatengenezwa na scania(BRAND FROM USA), boarded...
Utaahira upo wa aina nyingi, pia upo utaahira binafsi na utaahira jumuishi (Communal insanity).
Sifahamu bado kama mabasi yaliyoagizwa kwa ajili ya kutumika kwenye mradi wa mabasi yaendayo haraka wa Mbagala kwamba ni ya Diesel au ya umeme (Rechargeable); ila kama kweli tutakuwa tumeagiza mabasi...
Waziri MCHENGERWA: DART Hakikisheni Wakazi wa Dar es Salaam Wanapata Kadi Janja za Mabasi ya Mwendokasi
Waziri wa Nchi, OR-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa ameitaka Wakala wa Mabasi yaendayo kwa Haraka (DART) kuhakikisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanapata kadi janja kwa urahisi na...
Wakati Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla akisema kuna mabasi 200 yaendayo haraka yanayoyotarajiwa kuanza kazi katika barabara ya Mbagala, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), Dk Athuman Kihamia amesema hayo ni maelekezo ya...
Mheshimiwa rais,
Tayari tuna ndege, treni na mabasi ya mwendokasi. Tayari tuna miundombinu mizuri na adimu katika bara la Africa kama viwanja vya ndege, SGR na BRT.
Lakini bado huduma katika maeneo yote hayo sio nzuri. SGR tumeanza jana tu lakini dadili sio nzuri,. Sustainability. Hakuna...
Vituo vya mabasi ya Mwendokasi vya Kivukoni, Gerezani, Ubungo, Morocco na Mbezi ni vyema vikapewa majina ya viongozi wakuu wa nchi ili kuenzi mchango wao wa kuweka miondombinu mizuri na usafiri mzuri unaovutia wa mwendokasi katika jiji la Dar es Salaam.
PIA SOMA
- Treni zote za SGR Kupewa...
Aisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri.
Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo.
Kwenye kituo kuna watu wengi sana, magari hakuna! yanayokuja yamejaa kupita kiasi.
Nimeingia kituo cha City Council...
Hii ni kwa watumiaji wa Mabasi ya Mwendokasi tuu jijini DSM.
Kwa kuwa Serikali haina mpango wa kupunguza adha inayotukabili abiria wa mabasi haya.
Na kwakua sisi abiria hatuna mpango wakuilazimisha serikali kufanya hivyo.
Ni vyema sisi abiria tukapeana mbinu mbalimbali, zitakazotusaidia kama...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) - Mwenge - Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) - Mwenge - Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa...
Akizungumzia maboresho ya Huduma ya Usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka “Mwendokasi”, Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu, leo Julai 15, 2024, amesema kuna changamoto kubwa ya wizi katika huduma hiyo kutokana na malipo ya kutoa fedha taslim (cash).
Amesema “Ukiwa na opareta wengi wa kuendesha...
Huwa najiuliza hivi aliyeidhinisha ujenzi wa makao makuu ya Mwendokasi pale jangwani, Kando ya mto Msimbazi ambapo mvua ikinyesha panageuka kuwa makao makuu ya vyura na kambare ndiye huyohuyo anayepiga marufuku wananchi kujenga 'mabondeni' Na ndiye huyuhuyu anayepanga kujenga karakana ya...
Sasa hivi nasikia kuna treni express, mara mwendokasi, asubuhi saa kumi alfajiri tayari foleni, huwa mnaenda wapi na kwanini hata mnawahi mnakokwenda?
Tanzania hakuna productivity yoyote, hakuna promotion kwamba hard worker atakuwa rewarded na kuwa promoted, sasa hizi mwendokasi, sijui express...
Kwa jinsi hii DART ilivyokuwa inapigiwa promo enzi mradi unaanza, na hali halisi ya sasa ya uendeshaji wake, ni dunia mbili tofauti.
Kuna kipindi mradi ulivyokuwa unafunguliwa na Hayati Magufuli huu mradi ulitumika kama benchmark kwa nchi kadhaa za Afrika ambazo walidai watakuja lujifunza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.