mabasi ya sauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbeya hatuna hata bus la scania G7 tangia sauli hatoweke tunatia huruma sana hii michina tunapanda basi tu!

    Habari za wakati huu Sisi wanambeya tunapenda sana scania G7 ya mineso sio hii michina ikipiga tuta unahisi uharo. Kwanza michina ukipanda unafika umechoka tofauti na scania G7.
  2. TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

    Tumepokea taarifa ya ajali ya gari ndogo ambapo mmiliki wa Mabasi ya kampuni ya Sauli Luxury Solomoni Mwalabhila amefariki dunia kwenye ajali hiyo. Tunatoa pole sana kwa Kampuni ya Sauli Luxury. Ajari ya barabarani imeondoka na roho ya mmiliki wa mabasi ya Sauli Luxury siyo mbali sana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…