MABAUNSA WA YANGA: TISHIO KWA USALAMA NA HADHI YA SOKA TANZANIA
Ni jambo la kusikitisha kuona kwamba mabaunsa wa Yanga SC wanaonekana kuwa na mamlaka zaidi ya walinzi wa uwanja na hata Bodi ya Ligi. Kitendo cha wao kuamua nani aingie uwanjani na nani asikanyage, huku wakidhibiti uwanja kwa...