Julai 27, 2021, kesi ya unyang’anyi iliyomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya iliendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Arusha na shahidi wa tano wa Jamhuri, Seleman Msuya (36) aliieleza mahakama alimwona Sabaya akiongoza ‘vijana wake’ kuingia duka la Shaahid...