mabavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Prof. Issa Shivji: Serikali inapokosa uhalali kwa watu wake inaanza kutumia mabavu

    Mwanasheria na Profesa mkongwe kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Issa Shivji, alitoa onyo kwa serikali wakati wa Kongamano la Kitaifa la Ardhi 2024 na Maadhimisho ya Miaka 30 ya Hakiardhi, yaliyofanyika Jumanne, Oktoba 29, 2024. Akihutubia washiriki, Prof. Shivji alisisitiza umuhimu wa...
  2. Roving Journalist

    Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  3. Mzalendo Uchwara

    Ushauri kwa serikali wa namna ya kudhibiti ukwepaji kodi bila kutumia mabavu.

    Mheshimiwa rais, natumaini unaendelea vema na majukumu yako ya kuongoza serikali. Niende moja kwa moja kwenye ushauri wangu. Tengeneza sera ya kubadili mfumo wa manunuzi nchini kuondoka kutoka kwenye matumizi ya cash na kuwa wa kieletroniki. Na jambo hili lisifanyike kwa kutunga sheria ya...
  4. Restless Hustler

    Kigoma tunaishi kwa mabavu, wenyeji wanatupiga vita sana

    Sisi watumishi wa sekta ya umma na binafsi tunaofanyaia kazi Mkoani Kigoma tunaishi kwa mabavu, wenyeji wanatupiga vita sana. Wenyeji wa huku wana roho chafu na ya kupinga maendeleo ya wengine Kuanzia Maofisini Hadi mitaani. Kama wewe ni mwenyeji wa mkoa mwingine na unafanyia kazi hapa au...
  5. MALCOM LUMUMBA

    Zanzibar 2001: Kulikuwa na umuhimu kutumia mabavu kiasi kile?

    "Stop, O People, that I may give you ten rules for your guidance, in the battlefield. Do not commit treachery or deviate from the right path. You must not mutilate dead bodies. Neither kill a child, nor a woman, nor an aged man. Bring no harm to the trees, nor burn them with fire, especially...
  6. Influenza

    Makonda: Baada ya kuteuliwa wapo waliowaza naenda kufanya nini. Sina Kisasi na mtu, sitajitutumua kuonesha mabavu

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na sasa Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM wakati akipokelewa mkoani Dar es Salaam amesema; "Tangu niteuliwe nimepata nafasi ya kupita kwenye mitandao, wengi wanahamaki na wengi wana bashasha, lakini wanaohamaki wengi wao wanawaza Makonda ataenda...
  7. K

    Hayati Magufuli alitaka kuiangamiza CHADEMA kwa mabavu, Rais Samia amewapa kamba wajinyonge wenyewe

    Tukionee huruma hiki chama cha harakati Kwa sasa dawa ya kuwamaliza imepatikana Uhuru walipewa wanadhihirisha mbele ya watanzania kuwa wao ni wahuni na watapuuzwa wakijiangamiza wenyewe.
  8. R

    Putin katika hatari ya kupoteza utawala wake wa mabavu. Masaa 24 yajayo ni muhimu sana

    Rais wa Urusi anakabiliwa na tishio kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa utawala wake katika miaka 23 yote aliyokuwa akiongoza taifa lenye nguvu ya nyuklia. Ni jambo la kushangaza kuona jinsi alivyoweza kuendeleza udhibiti kamili kwa muda wote huo; sehemu muhimu ya kuonesha utawala wake wa kiimla...
  9. dubu

    Dar: Wakazi wa Nyumba za NSSF Kigamboni, watolewa kwa Mabavu

    Salaam Wakuu, Wakazi 23 wa NSSF wametolewa vyombo vyao nje Mtaa changanyikeni kata ya Toangoma. Inasemekana hakuna removal order na kuna kesi mahakamani Watu wameharibiwa vitu vyao na wengine kuumizwa. Zoezi limefanywa na YONO Auction Mart Je, itaratibu upoje kama kesi ipo mahakamani?
  10. muafi

    Uongozi ni akili si mabavu, hongera Rais Samia!

    Nimependezwa jana na hotuba ya Jana ya Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya 2022/2023. Bajeti inekaa vizuri sana. Nampongeza Mh Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha. Hakika serikali imeonesha nia ya kubana matumizi kwa akili kubwa sana. Jana ndio nilijua hivi kumbe Kuna watu wanalipwa mishahara ambayo...
  11. msani

    SoC01 Je, tufumbe macho au tutafute suluhu la machinga?

    JE, TUFUMBE MACHO AU TUTAFUTE SULUHU LA MACHINGA? Labda niseme kwamba mimi ni machinga kwa style yangu ya biashara, na niseme wazi kwamba nimefanya umachinga tangu nikiwa shule ya msingi au niseme kabla sijaanza shule ya msingi. Maisha yangu, ambayo ni maisha ya machinga wengi, yalikuwa ni...
  12. waziri2020

    Watumishi 6 waliofukuzwa kazi Halmashauri ya Siha wamwangukia Rais Samia, waomba iundwe tume huru

    Watumishi 6 waliofukuzwa kazi katika halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro wamemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia suala lao na kisha kuunda tume huru kuchunguzwa namna walivyofutwa kazi kwa madai kwamba kuna uonevu mkubwa ulifanyika. Mbali na kufutwa kazi pia wameiangukia tume huru ya...
Back
Top Bottom