GTs,
Naona kuna wizi unaendelea kwenye mizigo kwenye SGR. Kwenye ticket haioneshi kiwango cha uzito kinachoruhusiwa ila wapimaji ndiyo wanakadiria. Kibaya kabisa inaonekana ukila kilo inayozidi ni TZS 4000. Pamoja na kuwa wanatoa receipts za EFD na control number ila naona wizi upo tu maana...
Ikiwa imebaki miezi minane kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, vijana wametakiwa kuacha tabia ya upambe na kubeba mabegi ya wagombea badala yake wagombee nafasi mbalimbali.
Msingi wa hoja hiyo iliyotolewa leo Februari 17, 2025 na Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa...
Habari wadau. Nina ofisi inayoshughulika na uuzaji mabegi ya nguo pamoja na mgongoni jijini Mwanza. Naitaji kijana wakusaidiana nae majukukumu ya dukani
Sifa; 1) awe anajua kusoma, kuandika na hesabu za hapa na pale
2) Umri asizidi miaka 25
3) jinsia awe wakiume
4) Awe...
Hizi ndiyo silika za viongozi wetu.
Hawana uchungu na nchi.
Serikali zao zimesheheni ndugu zao.
Mali zetu wamejimilikisha wao kwa maslahi yao binafsi.
Viongozi hawa hawaaminiki.
Tudai katiba mpya itakayotuwezesha sote kuwajibika.
Katiba zenye kuhakikisha usawa wetu sote mbele ya sheria...
Kwa mujibu wa video ilisambazwa mtandaoni kutoka Nchini Gabon, imedaiwa kuwa Upekuzi uliofanywa na Vikosi vya Usalama nyumbani kwa Ian Ghislain Ngoulou ikiwa ni muda mfupi baada ya mapinduzi ya Kijeshi, vimebaini kiasi hicho cha Fedha zilizofichwa katika Mabegi makubwa.
======
Videos quickly...
Hello wadau karibuni hapa ni mabegi na pochi kali kwa bei nafuu. Pochi 15000 mabegi ya shule 20000, safari begi 30000 karibuni Sana.
Namba zangu za simu 0692436124, napatikana Moshi mjini mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
Yaani ukipita huko Instagram ndio utajua matatizo ya ajira pamoja na afya ya akili ni makubwa sana.
Wadada wa mjini a.k.a Maslay Queen wameibuka na kamtindo ka kwenda airport na mabegi makubwa kupiga picha na kupost Instagram ili kutafuta attention na aonekane yeye ni wa hadhi ya juu ili...
Vibanda vya wafanyabiashara wadogo 'Machinga' na mama lishe zaidi ya 30 vimeteketea kwa moto katika Soko la Karume Jijini Dar es Salaam, asubuhi ya leo Aprili 8, 2022.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam (ACP), Muliro Jumanne Muliro amekiri kutokea kwa moto huo na kusema chanzo cha...
Jamani najua mko poa!
Hivi siku hizi kila kaka huku mjini naona kabeba begi mgongoni, hayo mabebi ni makubwaa sana, na yamekaa kishamba shamba hivi. Mengi Yao yameandikwa Biowang mengine Marcello, yaani unakuta mkaka mzuri, msafii kapendeza halafu kabeba li Biowang mgongoni, hivi mnawekaga nini...
Wasalamu kwa wote
Mabegi yanauzwa kwa Bei ya jumla. Nikwawakazi wa Arusha na Moshi. Agiza tukuletee ulipo.
Bei ni 16,000 chini ya pic 100.
Ila kuanzia pic 100 ni shilingi 15,000.
Karibu asante
Kwa mawasiliano 0717636375
Wapendwa poleni na majukumu.
Karibuni Sana nauza mikoba na pochi za kike pamoja na begi kwa bei ya jumla .
Napatikana dar temeke
Karibuni Sana mikoni tunatuma kwa njia ya basi. 
0694 185 384
Maendeleo ya tiba ni kuwa unaweza kuchomwa sindano itakayo dhibiti wadudu humo mwilini na huhitaji kubugia yale madonge kila siku.
Taarifa hii imetolewa rasmi siku ya lile gonjwa 01/12/ ya kila mwaka. Maendeleo haya yako kule wanakotutumia ARV’s kwa msaada.
Habari wakuu!
Leo ningependa niweze ku-share na nyinyi wana JF juu ya fursa za kibiashara, hususani biashara ya bidhaa za mtumba kama,nguo,viatu,Bags etc.
Mimi napatikana Dar es salaam, na nina hamu ya kufanya hizo biashara, lakini kwa bahati mbaya sijuwi hasa ni Chimbo zipi hapa Dar, na ni...
Jabari wana JF...
Karibuni mjipatie begi nzuri begi kwa matumizi yako kila siku kwa Tsh 35000 kwa begi 1(3 in 1)
Na kwa Tsh 30000 kuanzia begi tatu na kuendelea, mikoani pia tunatuma bila shaka yoyote, Derivery kwa walio dar ni Tsh 5000 begi linafika mpaka mlongoni kwako bila shida na kwa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.