Habari wakuu!
Leo ningependa niweze ku-share na nyinyi wana JF juu ya fursa za kibiashara, hususani biashara ya bidhaa za mtumba kama,nguo,viatu,Bags etc.
Mimi napatikana Dar es salaam, na nina hamu ya kufanya hizo biashara, lakini kwa bahati mbaya sijuwi hasa ni Chimbo zipi hapa Dar, na ni...