Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa mabehewa 264 ya mizigo yatakayotumika katika reli ya kiwango cha kimataifa - SGR yamewasili Bandari ya Dar es Salaam kutoka nchini China Disemba 24, 2024.
Zoezi la ushushaji kutoka kwenye Meli litakapokamilika litafuatia zoezi la majaribio...
Wakati rais Samia akifungua reli ya SGR alisema utaratibu unaandaliwa kwa wawekazaji binafsi kuwekeza katika reli hii.
Wakati wakina Bakhresa wakijiandaa kuchangamkia fursa hii. Ni wakati sahihi na sisi wanaJF kuchangamkia fursa hii muhimu. Tuanzishe kikundi maalumu, tukusanye hela halafu...
TAARIFA KWA UMMA
KUWASILI KWA SETI YA KWANZA YA TRENI YA KISASA EMU
Dar es Salaam, Tarehe 03 Aprili 2024
Shirika la Reli Tanzania TRC linautaarifu umma kuwa Seti ya kwanza ya treni ya kisasa ya EMU, vichwa vitano vya umeme na mabehewa matatu ya abiria yamewasili katika bandari ya Dar es Salaam...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli nchini (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuwa Serikali itanatarajia kuweka milango wazi kwa wawekezaji binafsi kuwekeza kwenye mradi wa reli ya kisasa (SGR) kwa kuingiza vichwa vya treini na mabehewa yao.
Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari nchini...
Upunguzwaji wa Mabebewa kiholela kwenye Treni ya Mwakyembe (Tazara - Mwakanga) ni kero kubwa kwa abiria, inajaza kupita kiasi na kuhatarisha Usalama wa abiria.
Imekuwa hatari pia kwa magonjwa ya mlipuko ya kuambukiza.
Tunaombeni mtufikishie ujumbe huu.
Hizi picha zinaonesha namna...
Serikali imeingiza nchini Mabehewa 27 na vichwa vitatu vya treni kwa ajili ya kuanza majaribio ya SGR.
Ni yapi maoni yako kuhusu kasi ya utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na JPM? Je, waliolalamika kuwa mabehewa ya awali siyo ya SGR wanakauli gani leo? Hongera Mhe. SSH kwa...
Baada ya ufafanuzi wa Waziri wa Fedha kuhusu namna mitumba hiyo itavyokuwa inaingizwa nchini, haya ndio baadhi ya maswali ninalojiuliza na mpaka sasa sina majibu.
Je, wewe hapo uliopo, unaamini tunao wataalamu wa kukagua vifaa kama hivyo?
Je, si kweli kuna wakati itahitajika teknolojia katika...
Kwa mbwembwe zote Msigwa kawaambia vijana wake wa maelezo wawahi bandarini kuandaa video fupi kuhusu ujio wa mabehewa ya ghorofa ili kuwa hadaa watanzania.
Hadi muda huu ile clip na story yake imebuma maana wananchi wamesusa asilani na wanajua mchezo wote unavyokwenda.
Gafla wakatoa mkeka wa...
Nadhani wasemaji wa serikali katika sekta mbalimbali waanze kuwa wachunguzi kabla ya kutoka kusema. Issue ya mabehewa Gerson alikuwa na uwezo wakuwaachia TRC wapambane nayo kupitia Afisa habari wao lakini yeye alibeba Bango nakuwa mstari wa mbele.
Leo hii Yale yaliyosemwa na jamii ndiyo...
Mzabuni wa bei nafuu alitenda Dola 263 Wakamchukua wa Dola 478.
Kwa Hali hii Masanja anapendwa kuwa Ofisini Kwa Ajili ya nini?
Hawa wezi wasiishie kufutwa kazi tuu Bali wafikishwe Mahakama, TAKUKURU mnafanya nini?
---
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) linakabiliwa na changamoto katika...
Dar es Salaam. Ujio wa mabehewa mapya 22 yanayotumika reli ya kati na kaskazini umeleta matumaini ya uhakika wa usafiri kwa abiria wanaosafiri kupitia njia hizo.
Akizungumza na Mwananchi leo Alhamisi Desemba 15, 2022 asubuhi Balilusa Kitunda akiwa stesheni ya Kamata tayari kuanza safari...
Kulikuwa na ubishi humu ndege za Dreamliner na Airbus ziliponunuliwa, kwamba hilo lilikuwa jambo la manufaa kwa wananchi wa Tanzania. Hilo nimelipinga siku zote, kwa sababu unaposema manufaa kwa Watanzania, Watanzania wepi wanaopanda hizo ndege? Na hata ukisema wengine wanafaidika indirectly...
Tumezoea kuona jambo gumu linapowakabili viongozi wetu, huwa kunatokea jambo lingine la kufuta sintofahamu iliyopo na watu kuhamia kwingine.
Unafikiri ni jambo gani au kituko gani kitaletwa kufuta fukuto hili la mabehewa?
Kiukweli, kwa wale walioishi Ulaya au hata kutembelea tu, watakubaliana na mimi kwamba hoja alizozitoa Kigwangalla na watanzania walio wengi juu ya harufu ya ubadhilifu kwenye ununuzi wa mabehewa ya SGR, inahitaji uchunguzi wa ukweli ufanyike.
Yalinunuliwa shilingi ngapi, zabuni, value for...
Mbunge wa Nzenga Vijijini Dr. Hamisi Kigwangalla kupitia mtandao wa twitter amehoji kwanini Serikali imenunua mabehewa “used”
Amesema “Hili behewa moja (tena used) limenunuliwa kwa sh ngapi? Tumeambiwa yapo haya mabehewa 54, yamenunuliwa kwa us$ 59mn. Kwa hiyo behewa moja ni us$ 1,092,592...
Hamisi Kingwangala (Mb), Nzega Vijini, amekuwa akitoa maneno yenye nia ya kuchonganisha kuhusu mabehewa yaliyonunuliwa katika ukurasa wake wa tweeter.
Kwa nafasi yake anapowauliza Watanzania kama mabehewa ni ya mtumba? Na kuonyesha tumepigwa bila ushahidi, huku akisema hajayaona mabehewa hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.