Dar es Salaam. Ujio wa mabehewa mapya 22 yanayotumika reli ya kati na kaskazini umeleta matumaini ya uhakika wa usafiri kwa abiria wanaosafiri kupitia njia hizo.
Akizungumza na Mwananchi leo Alhamisi Desemba 15, 2022 asubuhi Balilusa Kitunda akiwa stesheni ya Kamata tayari kuanza safari...