Kuna hii trend imeibuka ya wachezaji kushuka viwango (na wengine hawajawahi kuonyesha hivyo viwango) kutokana na tabia zao mbofu mbofu za nje ya uwanja halafu wanadai wamerogwa, wanakimbilia kuombewa badala ya kurudisha kwanza nidhamu ya kazi.
Itakuwaje mabeki pamoja na magolikipa nao wakidai...
Wakuu,
Nimeona clip kijana wa azam akipiga chenga mabeki wa KMC kisha wakawa wanajiangusha,
Mabeki watano na kipa wa sita, tena akiwapita wanajiangusha na kunyanyuka kisha wanamuangalia tu kwa kusimama wala hawamkimbizi.
Kuna viashiria vya upangaji matokeo
Najaribu kuiweka clip inagoma...
Katika timu sijawai kuelewa selection ya kikosi basi ni hiii.timu imejaa wachezaji wa bench tu
Timu mbele selection ya kikosi zero, Kibabage na Msindo ni mawinga.? Ligi yote tumekosa mawinga wa pembeni kweli tunategemea Kibabage na Msindo ndio wakatengeneze nafasi kwa washambuliaji?
Halafu...
Mara baada ya tajiri Mo dewji kupost katika mtandao wa X kuwa Simba itasajili Mshambuliaji mwingine kabla ya dirisha kubwa kumalizika.
Habari zimevuja kuwa tayari Simba sc imeinasa mshambuliaji wa kimataifa wa Ethiopia, Abubeker Nessir kutoka klabu ya Mamelodi. Niwape tu habari kuwa huyu jamaa...
Tuweke siasa pembeni,
Hii timu tangu nchi hii ianze ilikuwa inatia aibu sasaivi naanza kuona mageuzi ya soka ktk timu yetu ya taifa.
Wachezaji hawabweteki tena ukizingua hupangwi kila mtu anataka ufalme pia mpira wetu umekua wa kimkakati.
Uzi tayari
Sasa kama GENTAMYCINE nakuwa Informed hivi na nina Sources wangu ( Authoritave, Credible and Reliable ) kila Kona kwanini nisiwe Mshindi wa Jumla ( Bora ) wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa mwaka 2022?
Haya chukueni hii na nawaomba muiamini tena kwa 100% kwani nimeitoa kwa Mtu...
Wengi tunatarajia magoli toka kwa akina Mayele n.k, leo mabeki wa Yanga wanaenda kuokoa timu yao.
Yanga itashinda magoli 2, tutarajie penalty kwenye mchezo.
Ft 2-0/2-1/3-1
Kila la kheri Yanga.
Mwaka 2019, aliponunuliwa na Arsenal kwa paundi milioni 27 akiwa na miaka 18 niliona kama ni hasara. Alikaa kwa mkopo Saint Etienne, Nice na Marseille.
Kazi anayoifanya sasa hivi baada ya kurudi kutoka kwenye mkopo ameonesha waliomsajili waliona mbali.
Kila la heri kwake katika miaka ijayo.
Hili wananchi lazima tulielewe.
Ni kweli straiker wetu amekuwa tishio kubwa kwa vilabu vya ndani lakini tukirudi kimataifa bado naona kuna kazi ya ziada inatakiwa ifanyike Ili kufanya vizuri mashindano haya.
Mechi na Simba ilikuwa kipimo kizuri sana kwa yanga kuonyesha ni vipi wanaweza...
Hii Michezo tumeshaicheza mno mpaka pale tulipoamua Kustaafu na Kutubu Dhambi kwa Mwenyezi Mungu hivyo Timu zingine zikifanya Michezo hii akina GENTAMYCINE huwa tunaishtukia na Kuigundua haraka sana hivyo tukisema Watu fulani Wachunguzwe upesi huwa tunakuwa tumeshatonywa na Vyanzo vyetu aminika...
Ingekuwa ni enzi zangu nacheza mpira (naupiga mwingi) nina uhakika huyu Mshambuliaji Mbovu wa Yanga SC Fiston Mayele sasa hivi angekuwa Muhimbili Hospitali anauguza Jeraha la Miaka 6 ijayo kwa Rafu ambayo ningemchezea.
Mabeki wa NBC Premier League (Siku hizi) ni Wapuuzi sana na ndiyo maana...
Ushauri wangu wa bure tu Kwenu Watani zangu Yanga SC kama itawapendeza ili angalau Kupunguza idadi ya Magoli ya Kufungwa na Simba SC Jumamosi tarehe 8 May, 2021 yawe 3 kwa 0 (ambayo ndiyo nayaona Kiutabiri) kuwa mtafungwa Mchezaji Tonombe Mukoko namba 5 na Juma Makapu namba 4.
Mkiwapanga Moro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.