mabibo hostel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Wanafunzi UDSM tuna uhaba wa usafiri wa kutokea Main Campus kwenda Mabibo Hostel

    Wanafunzi wa UDSM tuna uhaba wa usafiri wa kutokea Main Campus (Chuo) kuelekea Mabibo Hostel, magari hayo maarufu kwa jina la SHATO. Tunalazimika kukaa muda mrefu tukisubiri usafiri, inadaiwa kuna wakati magari hayo yanakuwa yanakodiwa kwa matumizi mengine wakati ambapo yanatakiwa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…