mabilioni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Mheshimiwa rais usitumie mabilioni ya maskini Watanzania kushinda uchaguzi au kujitetea pale unapokosea

    Tafadhali mheshimiwa rais tunaomba sana usitumie fedha nyingi za walipa kodi maskini kwa ajili ya kushinda uchaguzi. Watanzania wanahitaji maji ya kunywa, barabara angalau za vumbi, vituo vya afya, elimu ya msingi, nk. Inasikitisha mno kuona mabilioni ya fedha ambazo zingetumika kuwasaidia...
  2. M

    Kukamilika kwa bwawa la Mwl Nyerere kwapeleka kilio kwa mafisadi, Kwenye ukame huu wangewapiga watanzania mabilioni ya pesa

    Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?. Ni majenereta mangapi yangeingizwa? Zingezaliwa Richmond ngapi? Mwaka huu mvua ni chache nchi nzima na jua linatandika...
  3. Mabilioni ya Wahindi (India) hawana pesa za matumizi - Wakati tunatengeneza Dira tuangalie kama ndio huko na Sisi tunataka kwenda...

    Ripoti kutoka BBC... India is home to 1.4 billion people but around a billion lack money to spend on any discretionary goods or services, a new report estimates. The country's consuming class, effectively the potential market for start-ups or business owners, is only about as big as Mexico...
  4. Kesi ya Dkt. Abdi Warsame anayeshutumiwa kwa wizi wa mabilioni yasikilizwa kisiri Kisutu, Waandishi wazuiwa

    Kesi inayomkabili Dkt. Abdi Warsame, anayeshutumiwa kwa kujipatia mamilioni ya shilingi kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa kampuni ya bima ya afya AAR (sasa Assemble), imesikilizwa kwa siri katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Waandishi wa habari na umma wamezuiwa kuhudhuria vikao...
  5. M

    Wanaiba mabilioni kisha wanakwenda kugala gala kwenye matope wakimsifu Mama

    Nchi hii ni ya watu wa ajabu kweli kweli. Sisi viongozi tunaona fahari kusifiwa. Ni hatari sana kupenda kusifiwa. Hapo ndipo watu wanapoiba mabilioni mengi ili kukwepa mkono wa sheria wanalala kwenye matope wakimsifu Mama. Hii ndo Nchi yetu ilipofika kwa sasa.
  6. S

    Yabainika Ufaransa ililipa mabilioni ili majasusi wake waliokamatwa nchini Burkina Faso waachiwe

    Imebainika kuwa Ufaransa ililipa kiasi cha Euro Milioni 60 sawa na Shilingi Bilioni 156 za Tanzania ili majasusi wake wanne waliokuwa wamekamatwa na kushikiliwa nchini Burkina Faso waweze kuachiwa. Majasusi hao walikamatwa nchini Burkina Faso mnamo Disemba mwaka 2023 na kuachiwa mnamo Disemba...
  7. S

    Ukitaka kujua nchi hii ina wenyewe, uliza tenda zote za mabilioni za huduma kwenye mradi wa bwawa la Nyerere nani walipewa!

    Ninaangalia hapa list ya wale wote waliopewa tenda za kutoa huduma kwenye mradi wa Nyerere nabaki kutikisa kichwa tu. Tenda hizi zilikuwa ni za mabilioni na kwa ajili ya ku-supply kila kitu, kuanzia chakula, vifaa, huduma nk. Sana sana ulinzi ndio naona walipewa Suma JKT. Naona majina hapa ya...
  8. G

    Haya ni makampuni makubwa miongoni mwa 400 yanayowekeza mabilioni ya dola nchini Israel kwajili ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design)

    Update: Nimeleta habari za kisomi nashangaa kuna watu wameanza kuingiza mihemko ya kidini, Tatizo nini ? Katika kampuni za teknolojia, idara ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design) inahusika na kubuni na kuendeleza bidhaa, huduma, au teknolojia mpya kwa kutumia maarifa ya kisayansi...
  9. Wadukuzi wavamia mifumo ya Benki Kuu Uganda na kuiba Mabilioni ya fedha

    Wakuu, Inaonekana huko nchini Uganda masuala ya "hacking" na "cyber security" yamepamba moto mno. Wizara ya Fedha ya Uganda imethibitisha ripoti za vyombo vya habari kuhusu wadukuzi kuvamia mifumo ya Benki Kuu na kuiba fedha, lakini imekanusha madai kuwa kiasi kilichoibwa kilifikia dola...
  10. S

    Kama jengo la Kariakoo ni miongoni ya yaliyosemwa kujengwa kinyume cha kanuni na Tume ya Lowassa, serikali ishitakiwe ili ifidie wahanga mabilioni!

    Kamati iliyoteuliwa mwaka 2006 na Waziri Mkuu wa wakati huo Edward Lowassa, ilibaini kuwa majengo 147 kati ya 505 yaliyokaguliwa jijini hayakuwa nyaraka na vibali sahihi vya ujenzi. Yalijengwa kiholela na bila viwango na kuwa hatarishi kwa uhai wa watu. Mnamo mwaka 2008, Waziri Mkuu, Mizengo...
  11. 50 Cent ayatosa mabilioni ya Donald Trump

    Rapa wa Marekani Curtis Jackson, maarufu kama 50 Cent, amekataa ofa ya zaidi ya TSh bilioni 8 aliyopokea ili kutumbuiza kwenye kampeni za Donald Trump. Katika mahojiano na Power 105.1 New York, 50 Cent alisema kwamba alialikwa kutumbuiza wimbo wake maarufu “Many Men” kwenye Mkutano wa Kitaifa wa...
  12. Mabilioni yaliyomwagwa kukarabati uwanja wa Mkapa mbona bado uwanja mbovu?

    Zaidi ya mwaka sasa umepita, Tangu uwanja wa Mkapa ulipoanza kufungiwa mara kwa mara kwa ajili ya marekebisho na kupelekea baadhi ya mechi muhimu kuahirishwa kwa zaidi ya mwaka sasa. Kwa kipindi chote hicho, na kwa mabilioni yaliyomwagwa pale, Tulitarajia uwanja angalau uwe Pitch yenye quality...
  13. Mabilioni yaliyomwagwa uwanja wa Mkapa yako wapi? mbona hayaonekani uwanja umezidi kuwa mbovu

    Mechi muhimu kama hii ya derby uwanja hauna electronic display boards, uwanja hauna big screen, pitch yenyewe mbovu haina hadhi kama ya viwanja vingine tunavyoona huko nchi zingine. Kwa mabilioni yaliyomwagwa tulitegemea sio tu kuwa na on pitch electronic display board bali hata juu ilipaswa...
  14. Akitokea mwekezaji mwenye mabilioni ya dola mwenye nia ya kununua majengo ya bunge kwaajili ya uwekezaji itakuwaje?

    Mfano mimi huwa naona ile ni site nzuri sana kwaajili ya kufugia kuku wa mayai watakaoweza kulisha mikoa yote ya Tanzania. Hivi nikiwa na hela nyingi siwezi kuwahamisha waheshimiwa waende kujenga bunge huko mlimani Udom au ule mlima wa Area D kwa waziri mkuu waniachie site.
  15. Sitashiriki chaguzi za serkali za mitaa wala serikali kuu mpaka KATIBA mpya yenye maoni yetu itakapothaminiwa.

    Tunataka Katiba Mpya,hatutaki uchafuzi tena kinachofanyika ni kiini macho. Waziri Mchengerwa hastahili kusimamia uchaguzi kutokana na kuwa mwanafamilia wa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama kinachowania serkali za mitaa na serkali kuu.
  16. Kituko Kingine, Serikali kutumia Mabilioni ya Fedha Et Taifa lianzie kutumia Maji ya chini ya Ardhi

    Heeeeee, hata kama ni Kutengeneza mazingira ya Padiemu , hizi zingine muwe mnatumia akili hata kidogo. Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, Ziwa Victoria Baba laooo, vijiziwa vidogo vidogo , yote hayo Mungu katupa, bado mnapanga kutupiga watanzania ?. Ziwa Victoria linahamisha watu Kwa sababu ya...
  17. Huu mwenendo wa kutumia mahakama kudai watu mabilioni ni dhihaka dhidi ya chombo hiki-TUTAFAKARI!

    Kumekuwepo na wimbi au mwenendo wa wanasiasa au wanasheria au watu binafsi kujaribu kutumia Mahakama ndivyo sivyo. Yaani kupeleka mashauri yenye kuichosha mahakama au kuitumia kama chombo cha kisiasa au chombo cha kukwepa uwajibikaji. Hivi sasa imekuwa ni fasheni kuitumia mahakama kudai fedha...
  18. Sisi wana chadema tunataka kufahamu mabilioni ya Join the chain yapo wapi?

    Tunaomba majibu sahihi kabla hatujahama chama hiki.
  19. M

    Ushahi wa Mabilioni ya Ford kwa Maria Sarungi kuchochea migogoro.

    Pamoja na juhudi na nia njema za Serikali, kumekuwepo na makundi mbalimbali yanayopokea fedha kutoka nje ili kufitinisha Wamasai na wananchi dhidi ya serikali. Mfano wa hili ni taasisi ya Mwanzo inayoongozwa na Maria Sarungi, ambayo imepokea zaidi ya dola za Kimarekani 400,000, sawa na zaidi...
  20. Kuna kila dalili ya CCM kumburuza mahakamani Tundu Lissu, labda kudai fidia ya mabilioni

    Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…