Yanga Princess wameibuka mabingwa wa Samia Women’s Super Cup 2025 baada ya kuichapa JKT Queens 3-0 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa katika Uwanja wa Aga Khan.
Timu hiyo ilionesha ubora wake tangu hatua za awali, ikitinga fainali kwa ushindi mnono wa 7-0 dhidi ya Fountain Gate Princess katika...