mabinti wadogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I am Groot

    WIMBI: Ujauzito kwa mabinti wadogo chini ya miaka 18; nani haswa wa kulaumiwa?

    Nimeona rais Samia akiwa huko ziarani akieleza ni namna gani ameshangazwa na kukuta wamama wazazi (watoto) wodini. "Nilipokwenda kwenye wodi ya kinamama, na hasa watoto ambao hawajatimia,nimekuta mmoja tu ndio mpevu...lakini wengine wote ni kutoka miaka 15-19, niombe sana, wapeni nafasi watoto...
  2. peno hasegawa

    DOKEZO Dkt. Dorothy Gwajima, Ukeketaji wa mabinti wadogo washika kasi TARIME na DAR mwaka 2022

    Dada yangu Dorothy Gwajima, wizara ya afya Ili kushindwa na hili la ukeketaji mabinti wadogo nalo limekushinda? Kweli viongozi wengi ndani ya Serikali ni wanawake waneshindwa kuzuia ukeketaji wa Hawa mabinti? TARIME na ROYRA Hali ya ukeketaji Sio shwari. Hapa Dar es Salaam mabinti wanakeketwa...
  3. NetMaster

    Wazee wanaooa mabinti wadogo wanaweza kwenda na kasi ya mabinti?

    Habari zenu wakuu, Nimeenda wilaya flani kwa mara ya pili hivi na nimejionea kuna wazee wana wake wadogo, unakutata mzee ni miaka 52 ila binti ni 23. Nimepewa stori kadhaa kwamba huku sio kama mjini tumeshazoea kuchapiana, yani huku watu waliooa hasa wazee wamejidhatiti na hii imesaidia hata...
  4. Lady Whistledown

    Chad yapiga marufuku mabinti wadogo kutoka nje ya nchi bila kibali cha wazazi

    Waziri wa Usalama nchini humo, Jenerali Idriss Dokony Adiker amesema uamuzi huo ni kupambana biashara haramu ya watu na wimbi la wasichana wadogo kutumikishwa kingono katika nchi jirani Aidha katazo hilo linapiga marufuku mashirika ya ndege na mashirika ya uchukuzi kuchukua wasichana wadogo...
  5. tpaul

    Rais Samia aingilie kati tatizo la wazee kuwaoa mabinti wadogo; aagize sheria ya ndoa kurekebishwa

    Jambo wakuu! Sitaki kuwachosha, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kumekuwa na wimbi baya la wazee kuwaoa mabinti wadogo ambao ni sawa na watoto au wajukuu zao na kibaya zaidi, baadhi ya wazee hao waliwahi kulitumikia taifa kwa nyadhifa kubwa. Tofauti na matarajio ya wengi kuwa wazee hawa...
  6. EINSTEIN112

    Mume wangu, siwezi kushindana na mabinti wadogo wa mjini

    Alikuwa akisoma article fulani kwenye mtandao huku amekaa kwenye kiti kilichopo chumbani mwao.. "Darling...." Akamuita mumewe.. "Yes.." Mume akaitika... "Unanipenda?" Akamuuliza mumewe ambae alikua busy akifunga tai tayari kwa kuivaa shingoni. "Of course nakupenda my love. Nakupenda sana...
Back
Top Bottom