Kweli mambo yanaenda kasi sana wanabodi.
Sijui Manyangema hapo kale ya 2000s walikuwa wanakwama wapi, kwani nimekuja kugundua walikuwa hawatongozi kabisa, wao ndio walikuwa wanapigwa mistari sana na manzi wa enzi hizo.
Hawa Wanawake wanaotongozaa sijui wameishia wapi, yaan tokea nitongozwe...