Hawa jamaa Tyson na mwenzake Crawford si chochote si lolote kwa kifupi ni waoga kupindukia.
Hawa wote wawili wana mkanda mmoja mmoja , Tyson ana WBC Super belt, na Crawford ana WBO lakini wapinzani wao wanaotaka kupigana nao wana mikanda mitatu lakini cha ajabu hivi vijamaa vinakwepa kwepa...
Huyu dogo anayepambana na Tony Rashid mbona sifa zilikuwa nyingi na anaonekana anakwenda kupoteza pambano.
Hizi trends za wabongo kushinda , je ni wako bora sana Africa au tunamdanganya nani?
Ni wakati sasa na wao kutoka kwenda S.Africa na sehemu nyingine kututhibitishia lakini si kwa hii...
Boxer ni mchezo ambao unahitaji umpelekee mashambulizi mwenzako ili wewe ushinde. Lakini pamoja na mashambulizi hayo, yupo refa na Masecond ambao wote kazi yao ni kuwalinda mabondia ndani ya uwanja.
Lakini ni kazi ya bondia pia yeye mwenyewe kujilinda. Lakini la ziada kabisa ambalo mabondia...
Mabondia wawili wa Tanzania Yusuf Changarawe na Kassim Mbundwike wameingia robo fainali za mchezo ya Jumuiya ya Madola inayoanza rasmi leo jijini Birmingham, Uingereza.
Bondia wa tatu wa Tanzania, Alex Isinde sio tu ataanzia mzunguko wa kwanza bali pia atakuwa ndiye Mtanzania wa kwanza kutupa...
Bondia Hassan Mwakinyo ametoa kauli ambayo ni wazi inaonyesha anarusha ‘dongo’ sehemu.
Wale mnaojua someni hapa kisha muone kijembe hiki kinamuhusu nani?
“Bongo bwana Boxer unajulikana mikoa 5 tu Tanzania umeshaanza kuvimba mabega!! Eti unajiona kila mtu Una muweza ikipigwa hesabu yako tangu...
Hadi kufikia asubuhi ya leo Ijumaa Februari 11, 2022 mwili wa aliyekuwa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Vincent Mbilinyi umeshindwa kutolewa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya mazishi kutokana na kile kilichoelezwa kuwa kuna deni la Sh milioni sita za matibabu yake.
Mbilinyi...
MABONDIA wawili wa Tanzania, HASSAN MWAKINYO na IBRAH CLASS, wamevuliwa mikanda ya ubingwa WBF Intercontinental na Shirikisho la ngumi za kulipwa la dunia la WBF. Taarifa iliyotolewa na WBF imeeleza kuwa, mabondia hao si mabingwa tena wa mikanda ya WBF.
Hassan Mwakinyo
---
The World Boxing...
Nimefanya uchunguzi na kugundua maeneo hayo tajwa yamesheni mabondia chipukizi waliofufua mchezo wa ngumi kupitia Azam Tv inayoonesha mapambano ya ngumi moja kwa moja chini ya promota Selemani Semunyu.
Vijana wengi wanaocheza mchezo wa ngumi wamepata mafanikio makubwa katika mchezo huu hasa ktk...
Tunawashukuru sana Azam TV kwa kufufua mchezo wa ngumi , watu wameukubali na wanaunga mkono , lakini jaribuni kuwa wabunifu , haiwezekani mabondia wale wale wapigane mara zote .
Mabondia hawa hata kama hapa mnawaona wazuri kwa ajili ya promotion za biashara zenu , lakini hawana uwezo wa...
Mabondia wanne wa Tanzania akiwemo Dullah Mbabe wamewasili nchi Urusi kuzichapa na mabondia wa Urusi ambao awali Dullah Mbabe aliwataja kuwa wanapiga sana, lakini ameamua kwenda.
Dullah Mbabe atapambana na Pavel Silyagin kuwania ubingwa wa Asian Pacific mkanda wa WBO. Twaha Kiduku atapambana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.