Mkurugenzi wa Tawala za Mikoa wa Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Beatrice Kimoleta amesema baada ya Serikali kutangaza kurejesha mikopo ya vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, Ofisi ya Rais – TAMISEMI imefanya masuala mbalimbali kuboresha mikopo hiyo kwa kufanya marekebisho ya Sheria ya...
UTANGULIZI
Mapinduzi matatu ya viwanda yaliopita yalileta maendeleo ya kiteknolojia ambayo yalibadilisha kwa kiasi kikubwa hali ya kiuchumi na kijamii, hivyo kulihitajika marekebisho ya kisheria yanayolingana ili kushughulikia changamoto na fursa mpya zilizojitokeza kwenye jamii. Sheria za kazi...
Serikali imewahakikishia majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Kazi, kuwa inafanyia kazi maoni na mapendekezo yao kuhusu maboresho ya Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amesema hayo leo...
Tunakubaliana wote yaani CCM na upinzani kwamba Bunge la sasa halina uhalali kutokana na uharibifu uliofanywa kwenye uchaguzi 2020.
Tunakubaliana wote kwamba dhamira ya Mhe. Rais aitengenezi vifungu vya sheria Bali inaweza Tu kufungua milango Kwa mabadiliko ya sheria.
NI wazi kabisa kwamba...
MCHAKATO WA KATIBA MPYA KUTENGEWA FUNGU KWENYE BAJETI YA 2023/ 2024
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa mchakato wa Katiba Mpya pamoja na maboresho ya sheria ya vyama vya siasa na Uchaguzi unatarajiwa kuanza kufanyiwa kazi baada kupitishwa kwa makadirio ya mapato na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.