Serikali ya Awamu ya Tano ilitoa utaratibu wa kuwezesha Watanzania kufungua mabucha ya wanyamapori mradi tu wawe wamefuata utaratibu. Hapa Mwanza kuna rafiki yangu alifuata taratibu zote na alianza kujenga bucha kwa gharama kubwa, alinunua gari ya kuwindia, alinunua bunduki ya aina yake kwa...
Habari!
Siku moja kwa makusudi kabisa nikaamua kuwa mkaksi, nikasema nitanunua nyama kwenye duka(bucha) lenye mizani iliyo kamili kabisa.
Nikaanza duka la kwanza nikakuta upande wa kuwekea mawe kuna jiwe la nusu kg. Nikamuuliza muuzaji, "Hili jiwe la nini ilhali mizani iko free haina nyama"...
Serikali ilitoa ruhusa kuwa mtu /watu wanaotaka kuanzisha mabucha ya nyama pori ni ruhuksa mradi wamefuata taratibu zilizowekwa na Serikali. Tangu agizo hilo litolewe watu wengi wamekarabati maeneo yanayotakiwa kuwepo kwa mabucha hayo hasa hapa Mwanza lakini sasa yapata miezi mitano hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.