Serikali ya Awamu ya Tano ilitoa utaratibu wa kuwezesha Watanzania kufungua mabucha ya wanyamapori mradi tu wawe wamefuata utaratibu. Hapa Mwanza kuna rafiki yangu alifuata taratibu zote na alianza kujenga bucha kwa gharama kubwa, alinunua gari ya kuwindia, alinunua bunduki ya aina yake kwa...