Inaaminika kuwa ugonjwa wa mabusha husababishwa na unywaji wa maji ya madafu. Madai haya hupata mashiko makubwa zaidi kwa kuwa tatizo hili huwapata wanaume wengi wanaoishi Mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi, ambako madafu hupatikana kwa wingi.
Madai haya yana ukweli kiasi gani?
Baadhi ya Wazee wenye ugonjwa wa Ngirimaji unaosababisha korodani kujaa maji (Mabusha) Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo Zainab Abdallah @zainababdallah93 kuangalia uwezekano wa kubadilishwa kwa Watoa huduma wa afya wanaowatibu ili wawe Wanaume na sio Wanawake huku...
Wanaume 167 kati ya 200 wamefanyiwa upasuaji wa mabusha Mkoani Mtwara kwenye kampeni ya matende na mabusha iliyofanyika Mkoani humo kuanzia Feb 06,2023 hadi Feb 14,2023 “Mabusha huwapata Wanaume na Wanawake ila safari hii hakuna Mwanamke aliyekutwa na busha”, taarifa imeeleza.
Mratibu wa...
Leo January 30 ni kilele cha siku ya kimataifa ya maadhimisho ya magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele Duniani, ambapo kitaifa maadhimisho hayo yanafanyika mjini Tanga kwa kauli mbiu ya “Chukua hatua sasa kwa pamoja tuchukue hatua tuwekeze sasa".
Kwa mujibu wa Meneja wa Mpango wa Taifa wa...
Zaidi ya wananchi milioni nne wa Dar es Salaam katika Halmashauri za Temeke, Kinondoni na Ilala kuanzia wenye umri wa miaka mitano wameanza kupatiwa tibakinga dhidi ya ugonjwa wa matende na mabusha kuanzia Kata ya Tandale ambayo ina idadi kubwa ya wagonjwa kwa Manispaa ya Kinondoni.
Kauli hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.