Picha zinaongea yote, wahusika wameshachezesha kuwahi viwanja.
Walisema walipoulizwa kwa contacts zao, kwamba kuanzia tarehe 17, sasa itakuwa tarehe 25 Februari.
Mnao wahi mkawahi. Labda vitapungua tena na tena kabla.
Halmashauri inatakiwa kujieleza kwanini wanadanganya wananchi.
Anonymous
Thread
dar
halmashauri
kabla
mabwepande
mauzo
mtandaoni
viwanja
Narudia tena, bila vijana wa taifa la Israel, dunia bila nyukilia ingewezekana
Dunia bila teknorojia za maangamizi, ingewezekana
Shida ni hawa watundu wa ubunifu wa hali isiyo ya kawaida, namaanisha Waisrael
Hili taifa kulipiga inawezekana, ila si kulishinda,
Ni sawa tu na mwanaume kupigwa...
Kwa muda mrefu sasa mto Nyakasangwe unaotenganisha wilaya ya Ubungo kata ya Msumi na Kinondoni kata ya Mabwepande kumekuwq na uchimbaji holela wa mchanga.
Mara kadhaa wanachi kwa kushirikiana na serikali za mitaa ya Mbopo na Msumi wamekuwa wakitoa taarifa kwenye vituo vya polisi vilivyo jirani...
Shalom,
DSM ni mkusanyiko wa Vijiji vya hovyo vilivyochangamka, ni aibu mna viongozi ambao wana nafsi za tumbili na ngedere.
Hakuna anaejali mmejaza viongozi ambao ni mashetani wanyonya damu nyusa zao kama maghetto ya popobawa.
Kielelezo hakuna anaejali yafuatayo.
- Hakuna madaraja
-Barabara...
Habari!
Kwa huzuni kubwa leo naomba kwa mara nyingine niwakilishe kadhia wanayopitia wakazi wa Mbopo kata ya Mabepwande kufuatia ubovu wa miundombinu kwenye kata hii iliyo kwenye jimbo la kawe!
Tangu mvua ya December 2023 mpaka January 2024 iliyoharibu kabisa barabara na miundombinu katika...
Maeneo kadhaa huko Mbopo, Kinondo na sehemu fulani huko Mabwepande shirika la DDC linadaiwa kuvamia raia na kuyapora maeneo wakidai ni ya kwao. Nyumba zinavunjwa viwanja walivyonunua wananchi kwa taratibu kabisa na uwepo wa wajumbe wa maeneo husika lakini wanakuja kuwapora huu ni uvunjifu wa...
Sisi wananchi wa Mabwepande tunashukru serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kukamilisha ujenzi wa hospitali ya Mabwepande.
Hata hivyo, tunaomba kipande cha barabara kutoka hospitalini hadi Bunju B kiwekee lami.
Hii itasaidia kwa wakina mama hasa wajawazito watakapolazimika kupewa uhamisho...
Imezuka taharuki kwa baadhi ya wakazi wa Mabwepande Wilaya na Kinondoni wanaodaiwa kujenga eneo lisiloruhusiwa, baada ya nyumba zao kubomolewa huku wakiwa hawajui la kufanya na familia zao.
Akizungumza kwa simu na Mwananchi kuhusu ubomoaji huo ulioanza Julai 4, Mkurugenzi wa Manispaa ya...
"Vijana lazima wajue kuwa Chaguzi za Siku hizi nchini ni za hovyo na zimejaa Rushwa, Fujo na hakuna Haki halafu Viongozi hawapendi Kukosolewa na Wananchi ili wajitathmini na wabadilike. Suala la Katiba Mpya huenda likawa na Mashiko kwa wale wanayoitaka sana hivyo wasikilizwe"
Chanzo: Radio One...
Naitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Mabwepande Bunju B. iwe stand alone na ndani ya fance. Pia naitaki viwanja vya kununua(vilivyopimwa) maeneo ya Magwepande na Bunju B. Kama una offer naomba nicheck DM.
NYUMBA zaidi 11 katika mitaa ya Mabwepande na Mjimpya Kata ya Mabwepande Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam zimebomolewa na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha, huku wamiliki na familia zao wakilalala nje kwa siku mbili.
Ijumaa saa 10:00 jioni, waliotekeleza ubomoaji huo baada ya...
Mkoa wa Dsm mfano Mabwepande kuna sehemu bomba zimepita miaka miwili sasa maji hayajaruhusiwa, huku sio kupoteza tu mapato kwa msambazaji ambaye ni Serikali lakini pia haki ya kupata maji kwa mwananchi imedhulumiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.