1.Djuma Shabani wakati anasajiliwa Yanga tuliambiwa alikuwa akihitajika Real Madrid sasa yupo Namungo
2.Obrey Chirwa.,akivyotoka Yanga tukaaambiwa ameeenda Al Ahly ya Misri.
3.Tshishimbi,walisema ni zaido ya De Bruyne
...inaendelea
Katika awamu zote zilizopita tulishuhudia mawaziri waliojizolea sifa na kukubalika na wananchi zaidi.
Kiasi ambacho ilifika mahali wakaonekana tishio kwa wakubwa zao. Mfano tu unaweza kuongezea kama nitakuwa nimesahau.
1. Awamu ya kwanza ni waziri mkuu Moringe sokoine.
2. Awamu ya pili...
Leo ni alhamisi , huwa tunakumbuka mambo ya zamani kidogo. Mnalikumbuka Bunge la Spidi na Viwango chini ya uongozi wa Spika Marehemu Sitta?
Hebu leo tuwakumbuke wabunge waliokuwa machachari kwenye kuibua hoja zenye maslahi mapana ya Taifa.
Wabunge hao ni wale waliokuwepo katika uongozi wa...
Mida ya kusogelea viwanja unakaribia kufika. Mwanaume bila kuwa na ubavu wake wa kushoto, mapumziko huwa hayaendi vizuri.
Mida ya jioni, ndio huwa mida mizuri ya mitoko kwa wanawake pamoja na wanaume; baada ya kutimiza majukumu yao ya wiki nzima; sasa ni muda wa kujifariji baada ya kuutumikisha...
Heshima sana wanajamvi,
Katika nchi ya Guyana Mwanasiasa machachari apata kipigo cha Paka Mwizi.
Nasisitiza kipigo hiki kimetokea katika magareza ya Nchi ya Guyana 🇬🇾 na bendera nimeweka kabisa.
Mwanasiasa huyo machachari kashindwa mara mbili kuripoti katika Hospital ya taifa kwaajili ya...
CCM ni moja ya chama kikubwa barani Afrika na pia ni moja kati ya vyama vichache vya ukombozi ambavyo vilipigania uhuru na bado vipo madarakani mpaka leo
Umahiri huu wa chama cha CCM haujaja hivi bali ni kuwa na structure nzuri ya uongozi kuanzia ngazi ya taifa mpaka ngazi ya kata lakini pia...
Wakuu leo nimemkumbuka RPC wa Dar es Salaam miaka hiyo huyu mzee alikuwa machachari sana, akikamata silaha utafurahi anavyowasilisha. Dah!
Anaitwa nani kwa anayemkumbuka?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.