machache

Sekai Machache is a visual artist and curator who lives in Glasgow, Scotland, and works internationally. She works primarily in photography and seeks to interrogate the notion of self.

View More On Wikipedia.org
  1. PICHA Achana na magorofa machache city centre hii ndiyo DAR halisi.

    Kuna watu wanalilia kufika dar kisa magorofa ya kariakoo na posta. Ila kiukweli Dar ni mji wa kishamba sana. Kwa kweli watu wanaishintu kwa sababu ya tabu otherwise mhii wengi wangeshapakimbia. Lakini pia hiki ni kielelezo namba 1 kwamba waafrica hatuna akili na tu wabinafsi wakubwa kwa nchi...
  2. M

    Kwa mliokuwa mashabiki wa propaganda za Trump, yamebaki masaa machache ya yeye kutimiza ahadi ya kumaliza vita vya Ukraine

    Mojawapo ya ahadi zake na pengine iliyomuongezea kura na kupata wafuasi wengi wa Sera zake, Ni ile ya kumaliza vita vya Ukraine ndani ya masaa 24 Mara tu Baada ya kuapishwa. Trump aliapishwa Jana jioni na masaa 24 yatatamatika Leo mida ya saa mbili usiku. Je kufikia mda huo vita ya Ukraine na...
  3. Machache niliyoyaona kwenye mechi kati ya Yanga na Mc Alger

  4. Machache yaliyoonekana Simba ikishinda ugenini dhidi ya waarabu CS Sfaxien

    1.Simba imecheza vizuri sana mpaka ilipokuja kuvurugwa na kocha dakika ya 76. 2. Elie Mpanzu aongezewe muda wa kucheza ni mashine ya boli. 3. Simba ni imara zaidi golini na inabebwa na mlinda mlango wake Mousa Camara, hili eneo litaifikisha mbali Simba. 4. Kuna namna lionel ateba anaanza...
  5. kuifanya ndoa yako kuwa bora zaidi na imara hebu zingatia haya machache

    uzi huu nikwaajili ya watu wote yani wale waliopo kwenye ndoa na hata wale ambao bado hawajaingia kwenye ndoa hebu zingatieni vitu hivi ili kuifanya ndoa yako kuwa bora na yenye furaha zaidi, ndoa yenye amani, upendo, uvumilivu, kujali, kusaidiana, kusikilizana, kuelewana n.k kulingana na...
  6. Machache yaliyoonekana Yanga ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Fountain Gate

    1. Yanga imecheza vizuri mno, hii ni salamu tosha kuelekea mechi yao na Tp mazembe. 2. Nadhani fountain gate ndio timu yenye safu mbovu kabisa ya ulinzi, wamechagua kupishana na Yanga wakaadhibiwa. 3. Pacome zouzou amestahili tuzo ya mchezaji bora wa mchezo, ule uwezo wake uliopotea mechi...
  7. Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi dhidi ya Singida Big Stars

    1. Leo tumeshuhudia mechi nyingine tafu kwa Simba, ukubwa wa Simba umeamua mechi. 2. Singida waliingiia na maneno ya nje ya uwanja kuwa marefa wako upande wa Simba, hii iliwatoa mchezoni mapema. 3. Huenda Jean Charles Ahoua ameanza kuizoea ligi, anacheza kikubwa mno ( nilikua nikiuponda...
  8. Machache yaliyoonekana Yanga ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Dodoma jiji

    1. Inawezekana kabisa Yanga imejipata, wachezaji wanacheza kwa nguvu na kujituma kama ilivyokua mwanzo, gari limewaka. 2. Kibwana Shomari ameendelea kuproove kwanini mashabiki walipiga kelele apewe nafasi ya kucheza. Aziz k amerudi. 3. Clement mzize ni winga hatari sana kwa sasa, ana kasi...
  9. Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi dakika za jioni dhidi ya JKT Tanzania

    1. Hii ni moja kati ya mechi ngumu msimu huu, JKT wamecheza kwa mbinu na nguvu nyingi dakika zote. 2. Refarii hajafanya kosa kutoa tuta, lile ni tuta, wa kulaumiwa ni mchezaji wa JKT kufanya utoto dakika za mwisho ( inawezekana ni mwanafamilia wa Simba). 3. Joshua mutale apewe mapumziko na...
  10. Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Kagera sugar

    1. Hii ni moja kati ya mechi bora kushuhudiwa katika ligi ya NBC msimu huu, Simba wamecheza vizuri na Kagera wamecheza vizuri pia. 2. Elie Mpanzu ni mtu, kama asipofanyiwa mambo ya kiswahili atatupa burudani tamu wapenda soka. 3. Fabrice Luamba Ngoma amezaliwa upya, yule aliyekua akicheza...
  11. Machache yaliyoonekana Simba SC ikiibuka na ushindi dhidi ya Kengold

    1. Simba imecheza vizuri mno/kikubwa kipindi cha kwanza. Kongole kwa Awesu Awesu, Muzamiru yassin, Fabrice Ngoma, Kelvin Kijili na Ladark Chasambi. 2. Sub ya Okejepha, Ahoua na Mutale imeharibu mpira wa Simba kipindi cha pili. 3. Jean Charles Ahoua haitendei haki nafasi anayocheza, simba...
  12. Machache yaliyoonekana Simba ikishinda dakika za jioni dhidi ya CS Sfaxien

    1. Nafasi ya kiungo mshambuliaji no. 10 imeendelea kuwa ni tatizo kwa Simba, ni aibu timu kama Azam ina Feitoto halafu Simba haina mtu wa maana nafasi ile. 2. Simba inatakiwa ifanyie kazi eneo la pumzi kwa wachezaji , mara nyingi inataka kuanzia dk ya 60 nakuendelea. 3. Yusuph Kagoma ni kiungo...
  13. Kwanini mikoa yenye idadi kubwa ya Waislamu kuna maambukizi machache ya UKIMWI?

    Natafakari sana aisee hivi kwanini mikoa mingi ambayo kuna idadi kubwa ya waislamu kuna maambukizi machache ya virusi vya ukimwi? Tunaona kila mwaka mikoa kama lindi na sehemu kama zanzibar ambapo kuna idadi kubwa ya waislamu kunaripotiwa visa vichache vya amambukizi ya ukimwi je kwamba wana...
  14. Matajiri wa mabasi wekezeni coaster zenu Barabara ya Arusha Dodoma maana magari machache Njia hii

    Leo nawasanua mabosi wa mabasi acheni kukomaa na Njia za dar-moro, chalinze-moshi na Dodoma-Moro pekeake Kuna hili chimbo la Dodoma Arusha gari ni chache aisee halafu abiria ni kibwena yaani kama wenzenu walikataa kuwashtua mi ndo nawasanua hivyo Kiukweli hii barabara iko busy sana ila...
  15. Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

    At least 50 people have been killed and more than 300 wounded by Israeli air strikes in Lebanon, the ministry of health said Monday. Also read >Wakazi wa Kusini mwa Lebanon wamepokea SMS zikiwataka kuhama kwenye nyumba zao Smoke billows over southern Lebanon following Israeli air attacks...
  16. Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin

    Marekani imetoa taarifa hivi punde kuwa Iran imepanga kushambulia Israel hii Leo masaa machache yajayo. Kupitia kwa intelligence mbalimbali maofisa wa marekani wanaeleza kuwa shambulio hilo litafanyika masaa 12 yajayo. Israel imesema imeshajiandaa kwa shambulio hilo na Wananchi wametelekezwa...
  17. Tanzania inahitaji Rais kama Magufuli ona hapa machache yake

    Hayati Magufuli alikuwa anajiamini sana, ona hapa uthubutu wake 1. Kujenga viwanja vya ndege 2. Barabara zilizonyooka 3. Kupinga waziwazi sera za kibapari kama ushoga nk 4. Kujenga fly over ambazo hadi leo zimepunguza kwa kiasi kikubwa msongamano 5. Hospital za wilaya na mikoa aliziboresha...
  18. Mambo machache Sukuma Gang bado wanayahitaji yafanyiwe kazi

    Wapenda Nchi waliopewa jina maarufu la Sukuma gang wana haya machache na kama ntakuwa nimesahau mengine wataongezea , lakini kiujumla wanafurahishwa na mwenendo wa Mama . 1. Wanaomba suala la nidhamu makazini ifanyiwe kazi 2.Wanasema ,Dhana ya kula kwa urefu wa kamba mara ya mwisho...
  19. Machache kumuhusu Il Divin Codino Roberto Baggio…

    1. Aliujuwa mpira na mpira ulimjuwa na ulimfuata. 2. Mara nyingi alipo uagiza ulifika kwa mlengwa. 3. Ukimuuliza Zidane ni kipi anajutia kwenye Soka?! Hatokwambia ile Kadi Nyekundu kwenye final ya World Cup bali atakwambia ni kuchelewa kwake kujiunga na Juve, na Siku alipo jiunga akakuta Baggio...
  20. X

    Wanaume tukumbushane tu mambo machache tunapochagua mke wa ndoa

    Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kumfanya mwanamke kuwa mke wako wa ndoa. Kwa leo tuangazie matatu tu kwa kifupi ili tuendele na shughuli za ujenzi wa taifa. Iko hivi, unapotaka kuoa kwanza usijifikirie wewe tu, ni kweli chagua mwanamke ambaye anakuvutia lakini ukumbuke hujichagulii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…