machache

Sekai Machache is a visual artist and curator who lives in Glasgow, Scotland, and works internationally. She works primarily in photography and seeks to interrogate the notion of self.

View More On Wikipedia.org
  1. Ili TAIFA letu lipige hatua kimaendeleo, tunahitaji ku-focus kwenye mambo machache na kuyapa kipaumbele zaidi.

    Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Kwenye principle ya uchaguaji wa jambo flani katika mengi, maana yake umekubali kuyakosa hayo mengine. Kumbuka kuwa haimanishi hayo mengine huyahitaji ila imekubidi kuchagua jambo moja muhimu zaidi kwa wakati huo. Ukiangalia kwa umakini, utagundua...
  2. Ili TAIFA letu lipige hatua kimaendeleo, tunahitaji ku-focus kwenye mambo machache na kuyapa kipaumbele zaidi.

    Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Kwenye principle ya uchaguaji wa jambo flani katika mengi, maana yake umekubali kuyakosa hayo mengine. Kumbuka kuwa haimanishi hayo mengine huyahitaji ila imekubidi kuchagua jambo moja muhimu zaidi kwa wakati huo. Ukiangalia kwa umakini, utagundua...
  3. S

    Tulikatikiwa internet juzi: kuna mambo machache ya kuelewa

    Habari wanajamvi, Leo nimepokea ujumbe kutoka Vodacom uwa internet nchini Tanzania imeanza kutangamaa. Juzi, tumekatikiwa mtandao. Najua watu kadhaa waliongeza bundle kwa hofu kuwa wameishiwa, kumbe kilichotokea kilikuwa nje ya uwezo wao. Leo, ntakupeleka, japo kwa ufupi, nyuma ya pazia...
  4. G

    Israel imeuchukua mpaka wa Rafah unaounganisha Misri na Gaza, Mizigo na watu kuvushwa chini ya uangalizi na idhini ya Israel

    Kwa lugha nyepesi ni kwamba misaada, watu na vinginevyo haviwezi kuingia moja kwa moja Gaza mpakani Rafah bila ukaguzi na idhini ya Israel. Jeshi la Israel limechukua udhibiti wa mpaka wa Rafah na Misri. Jana usiku, kwa idhini ya Baraza la Vita, Netanyahu aliagiza ifanyike operesheni huko...
  5. Machache Kuhusu Kimondo Hoba (Namibia)

    -Ni miaka 80000 iliyopita. Jiwe kubwa lililokuwa na uzito wa tani 60 lilianguka na kufika katika ardhi ya Namibia pembezoni mwa milima ya Otavi, ni km 20 kutoka mji wa Groot fontein. - Mwaka 1920, bwana Jacob Hermanus Brits (alikuwa ni Boer), alienda shamban kwake na vifaa vyake vya kazi...
  6. G

    Mwaka wa nne huu naishi Mbeya, Wanyakyusa nawapa maua yenu japo mna mapungufu machache

    Kwanza kabisa ieleweke mkoa wa Mbeya kuna makabila mengine kama wasafwa, wandali, wamalila, n.k. Ila wageni wengi huwa tumekariri wanyakyusa sababu ndio main tribe kwa kigezo cha umaarufu, mifano mingine Ruvuma main tribe ni wangoni ila kuna wamatengo, Mara main tribe ni Wakurya ila kuna wajita...
  7. G

    Pamoja na kusemekana ni mkoa wa kihalifu, Ni kwanini kuna matukio machache ya uhalifu Mara.

    Tunasikia tu story kwamba Mara hakukaliki ni mkoa wa matukio kuuana, ujambazi, kupigana, n.k Kuna picha zimetengenezwa za vibao vimeandikwa "sasa unaingia mkoa wa Mara" yameongezwa maneno, "kaza roho", "be strong", n.k. yanaleta picha kwamba ni mkoa wa matukio Kwanini ni tofauti na uhalisia ...
  8. Fahamu machache kuhusu Zakat Al Fitri

    Saumu ya mwezi mtukufu wa Ramadhan inapokaribia tamati, Waislamu huhitimisha ibada hiyo kwa kutoa Zakat al-Fitr, ambayo pia hujulikana kama Sadaqat al-Fitr au Zakat al-Fitrah. Hii ni sadaka ya lazima kutolewa kwa ajili ya maskini na wenye shida ili nao waweze kusherehekea Eid al-Fitr, sikukuu ya...
  9. Djigui diarra top top top goalkeeper, maneno machache but kiwango bora kabisa!

    Ni moja ya sajili Bora kabisa ambayo Eng.Hersi said anastahili pongezi za dhati, ni goalkeeper ambae amekomaa vya kutosha na uzoefu wa kutosha! Mechi yake ya kwanza dhidi ya south Africa anaondoka na clean sheet uku akiwabeba Mali mgongoni mwake, save 6 za maana uku 3 akizifanya ndani ya box...
  10. M

    Ongezeni mabasi ya kutoa huduma ya usafiri DART Stendi Kuu ya Kimara Mwisho, watu ni wengi na mabasi ni machache

    Kero ya usafiri Kimara Termina ni kubwa sana muda wa kuanzia asubuhi mpaka saa 6 mchana. Msongamano wa watu ni mkubwa sana na mabasi yenu ni machache. Toeni tenda watu binafsi waingize mabasi kwenye hii njia yenu, maana inaonekana kazi imewashinda.
  11. Machache kuhusu kupoteza kumbukumbu

    Habarini wanajamii, Naomba nizungumzie kwa uchache sana niyajuayo kuhusiana na ugonjwa wa kusahau ama kupoteza kumbukumbu unaojulikana kitaalamu kama amnesia. Kusahau ni kushindwa kukumbuka au kuweza kutengeneza kumbukumbu mpya kabla/ baada ya hitilafu kutokea kwenye mfumo wako wa kuhifadhi...
  12. Tetesi: Machache aliyonieleza mfanyakazi wa TPA yana ukweli?

    Naeleza kwa ufupi. Wenye kuelewa haraka hongereni. Bajeti ya Bandari inakata Sept 2023 ambapo kwa mujibu wake anasema kuanzia Oktoba TPA itakuwa ktk wakati mgumu kwenye kujiendesha DPW walipaswa kuanza shuguli bandarini mnamo Oktoba 2023. Lakini mpaka sasa seems deal halijafikia muafaka. Siyo...
  13. Haya ni machache kati ya mengi niliyoyasikia au kuyaona kutoka kwa maustaz, wachungaji na waganga wa kienyeji. Je, na wewe ushashuhudia lipi?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu zangu katika nchi yetu kuna watu wamekuwa wakisabishiwa, au kusababisha wenyewe vifo vya ndugu zao bila wenyewe kujijua kutokana na imani zao, au mawazo yao. Hapo chini ni matukio mawili kati ya mengi ambayo nimeyashuhudia mimi mwenyewe. 1. Mnamo mwishoni...
  14. Battery ya Router yangu inakaa masaa machache, nitumie power bank yenye 10000 Mah badala ya battery ?

    Nina pocket router huwa naitumia katika shughuli zangu, uwezo wa battery yake umeshuka na sasa inakaa masaa mawili ama matatu tu. Nina power bank ina 10000 Mah, nataka niwe naitumia badala ya battery ya hio pocket router. kuna sehemu imeandikwa hivi Je kitaalam ntakuwa nimetatua tatizo ?
  15. Bado masaa machache tu wanasimba waingie nusu kaputi

    Hi, Anayebisha kuwa Simba haitaingia nusu fainali leo bali itangia nusu kaputi aje. Aweke andazi Mimi naweka laki moja
  16. Haya ndio maswali yangu machache yaliyokosa majibu. Je, wewe unaweza kunijibu?

    Vipi hali zenu ndugu zangu? Nimekuwa na maswali kadhaa akilini kwangu, lakini kila nikijaribu kuwauliza wana historia wanashindwa kunipa majibu yanayoeleweka. Anyway ngoja niyalete hapa huenda watapatikana wenye majibu yanayoeleweka. Kwanza kabla ya kuendelea naomba niseme kwamba mada yangu...
  17. Nawatakia Waislam wote Ramadhan njema, haya ni yangu machache

    NAWATAKIA WAISLAM WOTE RAMADHAN NJEMA, HAYA NI YANGU MACHACHE. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Ninapenda kuwatakia Waislam wote Ramadhan njema. Mwezi huu ni muhimu katika dini ya kiislam kwani inaaminiwa kuwa ndio mwezi ambao Quran tukufu ilishushwa Kwa mara ya Kwanza...
  18. Mambo yahusuyo ndege BUNDI na Jinsi anavyotumika Kishirikina

    BUNDI ANAVYOTUMIKA KATIKA UTAJIRI, NUKSI, NA USHRIKIANO WAKE NA WACHAWI Kwanza bundi ni ndege wa ajabu kidogo,anajitofautisha na ndege wengine kwa tabia zake ambazo kwa asilimia kubwa wanga wengi hupita anamopita yeye. Bundi anauwezo wa kuzungusha kichwa chake mara tatu kama vile unavyozungusha...
  19. Mahitaji yetu ya msingi ni machache Sana., na ambayo sio ya msingi ni mengi sana

    Binadamu mahitaji yake ya kila siku ni machache. Chakula Kulala sehemu Safi /makazi
  20. Hautaki kumwaga haraka? Fanya hivi

    HAUTAKI KUMWAGA HARAKA? FANYA HIVI. Anaandika, Robert Heriel Asome kuanzia mwenye miaka 18. Nakupa Tips chache tuu. Mambo ya dakika moja chali utabaki kuyasoma mitandaoni na kuyasikia. Hata twende Sawa! 1. Tawala presha na Mzunguko wa damu kwenye Uume. Tayari upo na mwenzi wako kitandani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…