IJUE NCHI YA ETHIOPIA
Ethiopia ni nchi ya pembe ya afrika, ambayo imepakana na Eritrea na Djibouti kwa upande wa Kaskazini, Somaliland kwa upande wa Kaskazini mashariki, na imepakana na Somalia kwa upande wa mashariki, imepakana na Kenya kwa upande wa kusini, imepakana na sudani kusini kwa...