Sitaki kujua sana kuhusu huyu Mungu wa namna hii ila maagizo yake kwa watu wake hayapaswi kuendelea kuchukuliwa kawaida kwani yanahamasisha na kuchochea mauaji makubwa yanayo tekelezwa na Netanyahu na genge lake.
Kwa nini nimemtaja Netanyau katika hili ? Kwa sababu yeye kama waziri mkuu wa...
Ndugu wadau. JamiiForums ni sehemu nziri ya Kupata elimu- Tuangalie misuko suko waliopitia ndugu zetu wa dini ya kikiristo.
Vita vya madhehebu ya Kikristo vinahusisha migogoro na mapambano kati ya makundi mbalimbali ya Wakristo wenye imani tofauti ndani ya Ukristo. Hapa chini ni mifano ya vita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.