Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman amewapokea na kuwakaribisha Chawa wa Rais Samia huko Zanzibar na kuwaahidi kuwa Serikali ipo nao na inaunga mkono mambo wanayofanya.
Aidha, amewaomba kuendelea kuyasema yale mema na mazuri yanayofanywa na Rais Samia pamoja na Rais Mwinyi ili...
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amesema yeyote anayekerwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kusifiwa kwa maendeleo makubwa aliyoyafanya basi mtu huyo siyo mzalendo na achague kukaa kimya kama hana cha kuzungumza...
Wakuu
Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Kwenye michezo yupo!
Mama Ntilie na gesi, machinga yupo!
Sekta za afya na sheria yupo!
Pesa kuendesha nchi ndio kabisa, kwa 200% yupo!
Tujiulize je, hii ni ishara...
Machawa wa Hasina wa Bangladesh kwa Sasa wanaojua shubiri. Wanaishi maisha ya kujificha na wanawindwa kweli popote walipo. Ila muda wa miezi michache wao ndio walikuwa wababe wa Bangladesh na kuumiza watu waliokuwa wapinzani wa Hasina.
Walihusika kuteka na kupoteza wafuasi wa upinzani nchini...
Hello!
Sio kwa ubaya lakini, ni kwa wema tu.
Mimi sio shabiki wa chama au mtu yeyote ingawa nina kadi mpya ya CCM kwenye kabati langu.
Ni kawaida na imezoeleka sasa kila jambo zuri au linalokaribia uzuri viongozi wateule na ma influencer humwagia sifa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
Kwanza kabisa Rais mwenyewe kwa matendo na maneno ameonyesha kuwa hataki habari za uchawa. Lakini machawa hawaishi kumsifu kwa hata vitu vya kuchekesha kabisa. Leo hii jambo la kumsifia Rais limekuwa kama dhihaka. Dhihaka kama hiyo iliandikwa karibu miaka 80 iliyopita.
- Rais Samia awakana...
Watu wale wanaoiba mali za umma, watu wale wale ambao makampuni na maeneo yao ya utawala yamejaa ubadhirifu ndio hao hao wanalipia gharama za vipindi kwenye radio na televisheni wamsifie kwamba anaupiga mwingi.
Watu wale wale ambao anawatumbua kila siku kwa kushindwa kumsaidia ndio hao hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.