machi

A machi is a traditional healer and religious leader in the Mapuche culture of Chile and Argentina. Machis play significant roles in Mapuche religion. In contemporary Mapuche culture, women are more commonly machis than men but it is not a rule.

View More On Wikipedia.org
  1. EATV: Wakandaji wa Yanga kuwasili Machi 28

    Kupitia ukurasa wao wa X zamani Twitter, East Africa TV wametuarifu kuwa wakandaji wa Yanga (Mamelodi Sundowns) watawasili nchini Machi 28 kwaajili ya mchezo wao wa kwanza wa robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika. Mhariri wa EATV ameshawapa nafasi na kuwasapoti Mamelodi kwanini mimi nizuiwe...
  2. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, Machi 18, 2024

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, Machi 18, 2024 https://www.youtube.com/watch?v=N16fn896FLM
  3. Manchester United yaipiga Liverpool 4-3 Robo Fainali ya FA Cup, Machi 17, 2024

    Manchester United imefanikiwa kuingia Nusu Fainali ya Kombe la FA (FA Cup 2023/24) kwa ushindi wa magoli 4-3 dhidi ya Liverpool kwenye Uwanja wa Old Trafford, mchezo ambao umechezwa dakika 120 baada ya matokeo ya 2-2 katika dakika 90. Kwa matokeo hayo, Man United imeungana na Coventry City...
  4. J

    Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania atembelea Ofisi za JamiiForums, Machi 14, 2024

    Leo, Machi 14, 2024, JamiiForums imetembelewa na Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania, Peter Huyghebeart Ujumbe wa Ubalozi umepata nafasi ya kukutana na Uongozi na Watendaji wa JF na kuona shughuli mbalimbali za Taasisi ikiwa ni pamoja Programu 8 zinazotekelezwa na kujadiliana namna bora ya...
  5. Nafasi za kazi VETA, Machi 2024

    PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT REF.NO. CAC. 79/126/01/489 2nd March, 2024 VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of the Vocational Education and Training Authority (VETA), Public Service Recruitment Secretariat...
  6. APHFTA: Tutasitisha huduma za NHIF kuanzia saa sita usiku, wagonjwa mahututi tutawaongezea saa 48

    Imeelezwa vituo vyote Binafsi vya Afya vitasitisha kutoa huduma kwa Wagonjwa wapya wanaotumia Kadi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)kuanzia Usiku wa Saa Sita kuamkia Machi 1, 2024 huku wale ambao watakuwa katika Uangalizi Maalum (ICU) wakiongezewa muda wa Saa 48 kuendelea kupata huduma...
  7. Tusipokuwa makini na kujiandaa vizuri huenda Machi 2, 2024 wana Simba SC tukachekwa sana

    Siku tuliyoichagua ya Jumamosi ni mbaya kwetu Kinujumu (Kiushirikina) na hata tarehe yenyewe ya Pili/Mbili nayo mbaya sana kwetu. Kafara kubwa na la hatari linatakiwa kufanyika vinginevyo tujiandae kulia, kuumia na kuchekwa. Nimemaliza.
  8. Spika Tulia: Bunge linataka mgao wa Umeme mpaka Juni uishe

    Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge limewapa Tanesco muda kufikia mwezi wa sita mgao wa umeme uwe umeisha. "Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili...
  9. Hussein Bashe: Upungufu wa sukari nchini utaisha mwezi Machi

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo Kutokana na kuwepo kwa upungufu wa sukari nchini, Serikali imeeleza kuwa mvua za El Nino zinazoendelea kunyesha zimeathiri mfumo mzima wa uvunaji wa miwa na hivyo kuathiri wa uchakataji na kupelekea uwepo wa upungufu wa sukari. Akizungumza Waziri wa Kilimo...
  10. R

    Luhaga Mpina: Hakuna hatua mahususi zilizochukuliwa mpaka sasa toka Ripoti ya CAG itolewe Machi 2023

    Luhanga Mpina akitoa mchango wake amesema, amesoma taarifa ya CAG mwaka 2021, amesoma majumuisho ya majibu ya serikali na mpango wa utekelezaji wa taarifa ya CAG, hakuna sehemu kwenye majumuisho ya mpango wa utekelezaji wa taarifa ya CAG inayoonesha hatua mahususi zilizochukuliwa mpaka sasa toka...
  11. Muswada huu ukipita na kuwa Sheria Magufuli Day itakuwa Machi 29 kila mwaka na itakuwa siku ya mapumziko

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Feleshi amewasilisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali wa mwaka 2023 Bungeni Jijini Dodoma ikiwemo Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa, Sura ya 419 ambapo pamoja na mambo mengine marekebisho haya yanakusudia kutoa mamlaka...
  12. Machi 2022, Kampuni tanzu ya P&O ya Uingereza inayomilikiwa na DP World ilifukuza wafanyakazi zaidi ya 800 wa Bandari

    Mwendeshaji huyo mkuu wa Feri za nchini Uingereza, aliwafuta kazi wafanyakazi 800 katika Meli zote baada ya kusimamisha safari zake zote. Vyama vya wafanyakazi viliitosha mgomo na maandamano na kuitaka serikali kusitisha kile ilichokiita "usaliti wa kashfa", huku P&O ikipanga kutumia wafanyikazi...
  13. Azimio wamtumia taarifa IGP Kenya kuomba ulinzi maandano ya Machi 27

    Muungano wa Azimo la Umoja nchini, Kenya umemwandikia barua Mkuu wa Jeshi la Polisi la nchi hiyo (IGP), Japhet Koome kumtaarifu kuhusu kufanya maandamano na maombi ya Kitaifa. Barua hiyo iliyosainiwa na mwenyekiti wa halmashauri kuu ya Azimio la Umoja, Dk Wycliffe Oparanya imeandikwa leo...
  14. Wahu (mke wa Nameless) ametimiza umri wa miaka 43 leo Machi, unakumbuka nini kuhusu huyu mrembo?

    Wahu, yule mke wa Nameless ametimiza umri wa miaka 43 leo Machi,2023 unakumbuka nini kuhusu huyu mrembo?
  15. Picha/Video: Madhara ya mvua iliyonyesha Dar es Salaam leo Machi 19

    Kwa wakazi wa Dar, leo mvua imetandika kweli kweli na baadhi ya maeneo kupata athari kubwa na ndogo. Mada hii tutupie picha au video ili mamlaka waweze kuona sehemu zilizoathirika waweze kuchukua hadhari mara moja. Kumbukeni Rais Samia ashasema huwa anapita pita JF kusoma maoni ya mwananchi...
  16. Jumatatu Machi 20, 2023 itakuwa siku ngumu kwa Serikali za Kenya, Tunisia, Nigeria na Afrika Kusini

    Jumatatu ya Machi 20, 2023, Itakuwa siku ya kihistoria na ngumu kwa Serikali za Mataifa 4 ya Afrika, kutokana na kuitishwa kwa Maandamano na Migomo ya Utii dhidi ya Serikali na Mashinikizo kwa Marais wa Nchi hizo. Maandamano hayo yameitishwa na makundi mbalimbali ikiwemo Vyama vya Upinzani...
  17. Trump adai atakamatwa na Idara za Usalama Machi 21, 2023

    Kauli ya Rais huyo wa zamani inakuja wakati Waendesha Mashtaka wakitarajiwa kukamilisha Mashtaka dhidi yake juu ya kutoa Rushwa ya Tsh. Milioni 300 ili kumnyamazisha Nyota wa Filamu za Ponografia asitoe ushahidi pamoja na kuwataka Wafuasi wake kuandamana kupinga Urais wa Joe Biden. Trump...
  18. Janeth Magufuli akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato Machi 18, 2023

    Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato leo Machi 18, 2023. Mama Janeth amewaasa wanafunzi wasichana katika Shule za Msingi na sekondari nchini kote...
  19. TMA yatabiri mvua kubwa kunyesha nchini Machi 14 na 15, 2023

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imefanya utabiri wa hali ya hewa wa siku 5 huku ikitoa angalizo kwa siku mbili za Machi 14 na 15, 2023 ambazo zinatarajiwa kuwa na mvua kubwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Machi 13, 2023, angalizo la mvua kubwa limetolewa katika maeneo machache...
  20. T

    Wazo: Tarehe 17 Machi iwe siku ya mapumziko na iwe ni siku ya kumbukumbu ya Marais waliotangulia

    Kila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa Watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati Magufuli. Kwa kuwa alikuwa ni shujaa kwenye maisha ya wengi hivyo anastahili kuenziwa kishujaa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…