Nchi za Umoja wa Ulaya zimekubaliana kurahisisha safari za watalii waliochanjwa dhidi ya Covid-19 au waliougua na kupona ugonjwa huo.
Baraza la umoja huo wenye wanachama 27 limependekeza kuwa kuanzia mwezi ujao, masharti ya karantini yaondolewe kwa watu wanaowasili katika nchi hizo wakiwa...