machifu tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mchakato wa kufufua na kurasimishwa uchifu; kwanini sasa?

    Sababu ni ini hasa? Ambapo ulipuuzwa awali kwa kutoonekana umuhimu wala mchango wake, kwa mkoloni, na tawala za Uhuru wa Bendera zilizofuata baada yake, Nyerere aliua uchifu wa makabila yote mengine, isipokuwa wa buzanaki (muhunda wa mwitongo) Tatizo hasa lilikuwa nini? Je, kiukweli uchifu...
  2. Nani kamdanganya Rais wetu kwamba Machifu ni viongozi wakubwa huku mikoani?

    Nimeangalia na kusikiliza maelekezo ya Rais Samia jana pale Ikulu Chamwino Kwa wanaoitwa Machifu nimebaki nashangaa. Maagizo yalitolewa kwa watu wasio na mamlaka yoyote zaidi ya familia zào maana hakuna sheria yoyote nchini inayowatambua. Nitoe mifano ya mikoa mitatu tu ninayotembelea mara Kwa...
  3. Rais Samia kuzungumza na Machifu wa Tanzania, 20 Julai, 2024

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzungumza na Machifu wa Tanzania. 🗓️ 20 Julai, 2024. 📍 Ikulu Chamwino.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…