Natumaini ni kwema wakuu.....
Naomba kujua machimbo ambapo naweza kua napata jezi mipira na viatu vya michezo pamoja na vifaa vingine hasa vya mpira wa miguu.
Natamani kufahamu kule wanakonunua wanaouza rejereja Kariakoo manake naamini wananunua humohumo ila ndio sipajui kwa sababu kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.