Kutokana na uzi wa mkuu Nikifa MkeWangu Asiolewe nimevutiwa kuanzisha hii maada ili watu wengine wajifunze kwenye hii maada kua watu wanapambana usiku na mchana,
Upambanaji upo na watu wanapambana kufa na kupona ili waondokane na umaskini,
Kwenye upambanaji kuna mambo mengi Sana masaibu...
Enyi wadau ukienda machimboni halafu upite kula masankuloni basi kuwa makini.
Kwanza hoteli hizo Huwa chini ya mti mkubwa kama mwembe ama utakuta wamefunga hema na jioni litaondolea nk.
Wa mama lishe mara nyingi chakula hupikia kwao majumbani na kubeba Kila Asubuhi Hadi sehemu husika.
Mara...
Mwaka 2021 nikiwa hapa home tz nilikua na pesa flani ambayo nilipanga niagize bidhaa Ali express nianze kuuza maana Nina uzoefu na kuagiza mizigo huko kutoka China through Ali express bahati mbaya ikaingia Corona ikavuruga mipango yote.
Nilishawai leta thread ya kutaka ushauri wa kununua bidhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.