machinga barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOKEZO Songwe: Machinga 1,300 wakimbia eneo walilowekwa kwa muda baada ya ujenzi wa Soko kutelekezwa Tunduma

    Wafanyabiashara wadogo walioondolewa pembezoni mwa barabara Mwaka 2022 na kupelekwa katika eneo la Kata ya Majengo ilipokuwa Stendi ya Zamani ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma Mkoani Songwe, wamelazimika kulikimbia eneo hilo baada ya sintofahamu ya kusimama kwa ujenzi wa Soko la Kisasa la...
  2. Machinga Mwanza warudi kwa kasi barabarani

    Wakati serikali mkoani Mwanza ikiwa imetenga maeneo maalumu kwaajili ya Wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama Machinga kufanya biashara zao, wafanya biashara hao wameanza kurudi kufanya biashara kandokando ya barabara jambo ambalo lilipigwa marufuku na Serikali. Jana nilifanya ziara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…