Muda mwingi mifugo wanakaa juani. Hakuna kivuli cha kuwakinga na jua, ama eneo maalumu la kulishia.
Wanakaa pamoja na kuficha vichwa kwa kujikusanya pamoja, kukwepa makali ya jua.
Pia, mfereji wa maji taka toka machinjioni umeziba na upo wazi kwa miaka na miaka. Eneo la kuchinjia halina...
Anonymous
Thread
hadhi
kiafya
machinjio
maeneo
manispaa
mifugo
moshi
wakazi
Machinjio ya Manispaa ya Morogoro unaweza kuhisi ni sehemu iliyotelekezwa, uchakavu, uchafu na harufu mbaya
Harufu ya machinjio iliyopo katika Manispaa ya Morogoro imekuwa kero kwa wakazi wanaozunguka eneo hilo pamoja na wapitanjia kutokana na miundombinu kuwa mibovu hasa ya kupitisha maji...
Wakuu
Inaaminika na kuheshimika katika jamii yetu hii kwamba walio na mamlaka ya kuchinja ngombe na mbuzi ni waislamu pekee ambapo hali imekuwa hivyo na tunaishi kwa amani
Lakini pia waislamu hawaruhusiwi kula kitoweo kilichochinjwa na mtu ambaye si muislamu, wakristo wanaheshimu na imekuwa...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamikia kuhusu Mradi wa Machinjio uliopo Goweko akidai umekwama kuendelezwa licha ya fedha za walipa kodi takribani Shilingi Milioni 25 kutumika, hatua zimeanza kuchukuliwa.
Malalamiko ya member ~ Haya machinjio ya Nyama Wilayani Uyui (Tabora) ni...
Baada ya member wa JamiiForums.com kuulizia juu ya Mradi wa Machinjio uliopo Goweko akidai umekwama kuendelezwa licha ya fedha za walipa kodi tarkibani Shilingi Milioni 25 kutumika, Mkuu wa Wilaya ameelezea Sakata hilo.
Mkuu wa Wilaya ya Uyui, Zakaria Mwansansu amesema:
Hayo Machinjio yana...
Huu ndio muonekano wa maeneo ya kuchinjia vitoweo katika Kata ya Goweko ambapo pia ni kwa ajili ya maeneo mbalimbali ikiwemo Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora.
Taarifa ninazozijua ni kuwa Serikali ilitoa zaidi ya Shilingi Milioni 25 kwa ajili ya machinjio hayo kwa ajili ya kata hizo...
Wananchi Manispaa ya Bukoba Mjini wameilalamikia miundombinu ya machinjio na kudai kuwa siyo rafiki kwa matumizi ya binadamu na afya kwa ujumla.
Baadhi ya changamoto zilizolalamikiwa katika machinjio hiyo ni pamoja na
Plumbing system ni chafu na mifereji imekufa, drainage system hakuna, sakafu...
Ukitaka salamu nenda kwa waswahili wenzio,kwangu utaambulia chuya!.
Leo nimekaa nikaikumbuka ile Machinjio ya Kisasa iliyokuwa inajengwa Vingunguti tangu kipindi cha Mwenda Mlama!.
Bila shaka itakuwa haikukamilika maana ingekuwa imekamilika ni lazima ningeona kwenye luninga mbwembwe za...
Kwa sisi wakazi wa Wilaya ya Rufiji iliyopo Mkoa wa Pwani tangu nchi ipate uhuru hapajawahi kujengwa machinjio rasmi ya kuchinjia nyama kama zilivyo wilaya nyingine.
Pamoja na kuwa wafanyabiashara wanalipa ushuru wa ng’ombe minadani, vizuizi vya njiani (mageti ya ushuru) na kodi kwa Mamlaka ya...
Jezi za Klabu Bingwa na Shirikisho zonatakiwa ziwe na Uhalisia wa Soka ( Mpira ) tu na siyo kuwa na Jezi zenye Picha za Vifusi, Maghorofa na Machinjio ya Vingunguti.
Kuna Timu Moja hapa Tanzania ( siyo Simba SC ) inaweza Kucheza Kifua Wazi ( Kidali Po ) Mechi zake za Klabu Bingwa Afrika ( hatua...
Nyama ya nguruwe, ambayo inajulikana zaidi kama “kiti motó” inaliwa na kupendwa na watu wengi, lakini wanaweza kuwa hawajawahi kujiuliza machinjio ya wanyama hao yako wapi.
Si machinjio tu, nguruwe hawaonekani kwenye minada ya kawaida ya mifugo. Huuzwa wapi?
Kwa watu wanaoishi nje ya miji...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameliagiza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kufanya kazi usiku na mchana ili hadi kufikia Agosti 1, 2021 machinjio ya kisasa ya Vingunguti ianze kutumika.
Makalla ametoa agizo hilo jana Julai 8, 2021 wakati alipotembelea machinjio hayo na kukuta...
Kiwanda cha nyama ya Punda cha wachina kilichoko SHINYANGA chafunguliwa kuendelea na uzalishaji.
Source: Taarifa ya habari CHANNEL 10
Tuendelee kupeleka punda kwa wingi
Naibu waziri Katambi amefanya ziara katika Machinjio ya kisasa ya ng’ombe yaliyopo katika kata ya Ndembezi na kuonesha kutoridhishwa na ujenzi wa machinjio hayo yenye gharama ya Shilingi Bilioni 5.57 ulioanza mwaka 2018 ukitarajiwa kukamilika mwaka 2019 lakini mpaka leo hauoneshi dalili yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.