Katika mifungo hii ya kwaresima na mwezi wa Ramadhani kitimoto hauziki wakuu. kuna sehemu moja hapa kitaa ilikuwa hailali wala kutoboa hadi saa7 usiku bado ipo labda kama wamechinja nguruwe mbili.
Lakini kwa sasa kiti moto ndo hivyo tena hailiki ndg zetu wa upande wa pili tukisema ninyi ndo...
Nilianza kuangalia movie yake kitambo akiwa kijana kabisa ikiitwa mississippi masala, zikaja Training Day, Dejavu, Man on fire, Inside job, American gangster, Great debetors, Malcom X, Manchurian candidate, Antwoine fisher nk.
Huko kote alionekana akizeeka taratiiibu
Juzi nimeona picha yake...
Huku wengine tukijitamba kuweza kufika mpaka vyuoni na kuona tuna bahati kwa kupenya kwenye system kuajiriwa na kupokea mishahara ya milion 1.xx, Najiuliza mara mbili mbili nafanya kitu gani na maisha yangu navyoona kuna watu wa kawaida kabisa kiakili, kielimu, n,k wanagnga mapene ya kutosha...
Macho yangu yanawasha sana na kutoa machozi mengi, pia matongotongo machoni.
Naomba mwenye kujua dawa ya kutumia au ushauri wa kujitibia anisaidie.
Niko na hali mbaya.
Asanteni.
Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi.
Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za...
Dunia Ina Mambo mengi sana na ni rahisi sana kupinga au kubisha Kama hayo Mambo ya ajabu hujayashuhudia na pia ni Bora uwe unasimuliwa tu na usije kukutana nayo maana unaweza ukadhurika ama ukawa hai.
Naam leo nimepata muda nikaona ni Bora nishee haya machache niliyokutana nayo katika huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.