machozi ya mamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jidu La Mabambasi

    Serikali inavyowawezesha Wachina, halafu inalia machozi ya mamba!

    Serikali yetu tukufu imejaa wanafiki wa kupindukia. Inalia machozi ya mamba na watanzania huku nyuma wakila kwa urefu wa kamba zao na wachina. Nimefuma hiyo hapo juu mahali fulani ili wabunge wetu, wananchi na hasa viongozi wajue wanavyoliangamiza Taifa badala ya kuwaendeleza Watanzania. Just...
  2. BLACK MOVEMENT

    SoC03 Kuna Machozi ya Mamba kwenye kupambana na uharibifu wa Mazingira

    Mamba anajulikana kwa kuwa na machozi ya kinafiki sana, unaweza muona analia machozi yanatoka kumbe ana zuga. Sasa na sisi kwenye Kupambana na uharibifu wa Mazingira ni bora tukaacha unafiki kama wa Mamba. Mabadiliko ya Tabia nchi ni kweli yapo na yanaendelea kutuletea matatizo makunwa sana na...
  3. MURUSI

    Nani mwenye Uchungu na Rasilimali za hii nchi? Machozi ya Mamba yamekuwa mengi

    Swali la msingi je ni nani ana uchungu rasiliamali za hii nchi? RAIA-Raia wa Tanzania walipaswa kuwa wa kwanza kwa uchungu ika hili silioni kabisa, raia tuko busy kujadili Yanga na Simba ilihali watu wana fisidi nchi na ndugu zetu hasa Wazazi wetu ambao wengine walipigania slustawi wa Tanzania...
Back
Top Bottom