Habari wadau wa JF,
Mada tajwa yajieleza, kutokana na kuwa na Mlipuko wa ugonjwa wa Corona na kupelekea kwa baadhi ya watu kutpoteza vyanzo vyao vya fedha na kama wanapata fedha sio kama hapo awali.
Napenda tubadirishane mawazo juu ya biashara hii ya QNET inayoineka inaweza kuwa msaada wa...
Habari za majukumu wahangaikaji wenzangu!
Naomba kufunguliwa zaidi kimawazo kwa wale wenye kujua biashara ya utalii inavyoendeshwa.
Naona fursa ipo kwenye utalii ila nashindwa kutumia. Natamani kutumia rasimali zilizopo kufanikisha jambo hili, mfano kutafuta watalii na kuwaunganisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.