Habari wadau wa JF,
Mada tajwa yajieleza, kutokana na kuwa na Mlipuko wa ugonjwa wa Corona na kupelekea kwa baadhi ya watu kutpoteza vyanzo vyao vya fedha na kama wanapata fedha sio kama hapo awali.
Napenda tubadirishane mawazo juu ya biashara hii ya QNET inayoineka inaweza kuwa msaada wa...