Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.
Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake...
Ni machungu kiasi gani kwa familia za waliopotea au kuuwawa kwenye kadhia hizi za kisiasa?
Ni familia ipi inaweza kuhalalisha unyama huu kutokea katika familia yao?
Imekuwa ni kawaida watu kupotea au kuuwawa kwa sababu za kisiasa, huku kukiahidiwa chunguzi zisizokuwa na majibu.
Kwamba haya...
Kama maudhui ya mada yangu inavyosema, nimeona nikubali hali ya sasa ya maisha yangu na jiji la Dar es salaam.
Kwa kukubali Dar es salaam sio tena ule mji au jiji niliwahi kuishi na kuwa na marafiki na ndugu. Baada ya kukulia, kusoma na kufanya kazi jijini Dar es salaam tangu nilivyozaliwa...
Ndugu wa Giza ni maneno yanayofaa kuwataja viongozi hawa, waliotumia mamlaka yao kama mapanga makali kukata haki na ustawi wa watu wao. Kila mmoja wao aligeuka kuwa kivuli cheusi kilicholeta maafa makubwa katika historia ya ulimwengu. Hawa ndio viongozi waliotumbukiza dunia katika jahanamu ya...
Angalau hajakukaba kukupora au kufanya ujambazi wa unyama kupelekea mauti ya ndugu yako.
Hivi unadhani kuna mtu yuko tayari kupoteza nafasi ya kuhudimia familia bila ya kuwa omba omba na mfalme wa madeni.
Shida na tabu zinachaganya nyie sio hizo mlizonazo na unajua at some point unafuu una...
Katika tukio la kipekee ambalo linakipa Kiswahili nafasi iliyopokwa siku nyingi ni tukio la muhadhara wa uprofesa kuendeshwa Kwa lugha ya Kiswahili.
Mchango mkubwa wa Profesa Mkandala katika hili siyo jambo dogo. Ni dhahiri kuwa ana mchango mkubwa yeye binafsi na kupitia historia yake ya...
Mungu awe nanyi,
Dunia Ina mengi matamu tumeishi nyakati zote tunaona utamu wa Dunia ila kwa sasa mapenzi yamekuwa Machungu sana, bila pesa wanaume tumegeuka vibwengo watazamaji wa miili minono ya wanawake ikipita barabarani, ukijikaza kidogo tu swali la kitaifa linakuhusu. Una shingapi?
Hii...
Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS Magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu
Wakati Magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako...
Jamaa kweli Walituweza kila Kona kuanzia kwa Wachezaji Watano ( japo Wawili Kipa na Fowadi wamesamehewa na Wengine Watatu wakilindwa ili Kutuzuga Mashabiki na huenda leo Wasipangwe au Wapangwa baadhi au Wakaishia tu Bench ) kisha wakaenda hadi kwa Viongozi Wawili ambao hawapatani Mmoja akiwa na...
https://www.netflix.com/us/title/81223488?s=a&trkid=13747225&trg=cp&vlang=en&clip=81728489
Jamaa nilimu idolize sana miaka ile hadi nikawa napiga cross kama zake mpirani
Naona mwenyekiti wenu analalama kuwa haheshimiwi.
Haheshimiwi vipi?
Mlitaka wapinzani wakae kimya wakati wanaona kuna madudu?
Mkataba wa bandari na usimamizi mbovu wa rasilimali za taifa zinawacost.
Ukweli ni kuwa wamepata pa kuwashika.
Baada ya viwiki kadhaa wadau wa mpira kuukosa uhondo wa ligi mbali mbali kama laliga, NBC ligi 1 na nyinginezo duniani, hatimaye burudani zimerejea EPL on air leo Mancity vs liverpool yaani ni unyama unyamani:), haka kamechi kanakuhitaji upate chimbo moja hivi tulivu upate moja baridi...
Salamu zenu wakuu Wana JF,
Mwanaume fanya yote Ila usije ukaoa mwanamke mwanaharakati eti wanatetea haki zao kwenye Ndoa nao ni wapambanaji.
Mfano si mnaona mdada maarufu hapa mjini mama ntilie ndoa zinamshinda kwa harakati zake za kutaka kuwa juu ya mwanaume.
Wanawake wakikaa kwenye vikao...
Maisha ya mahabusu/ mfungwa ni magumu na mabaya ila siyo kwa ubaya ule unaovumishwa mitaani kwamba kule kuna
Kupigwa na wababe
Kunyang'anywa chakula
Kuteswa
Kubakwa n.k ni hapana
Maisha yanaenda kawaida ikiwa kwa upande wa burudani
Television ipo
Draft/bao lipo
Mpira wa miguu upo
"Kwaya kwa...
Vijana kuna tuition nzuri sana toka kwa Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha
Mwanaume mwenye viwango vya juu kama kichwa cha familia.
Big up kwa mwanaume yoyote mwenye bidii ya kazi.
Eti umekula?? umekunywa maji?? Umelala??😂😂😂
Baadhi ya Watoto wa kike hawataki kutumia ubongo zao
Kumbe Ruto pamoja na kujishasha kwake na hatma ya majaji wale 6 mbele ya wageni wasiohusika, kingali kimeumana?
Kwa hakika ndiyo maana watawala wetu wakisikia katiba mpya:
"Huwa hawaishiwi ndoto mbaya mbaya usiku wakikimbizwa na kupigiwa kelele za wezi,,, wauawaji ... zisizokoma."
Hawa 6 kwa...
Licha ya Klabu ya Soka ya Yanga kufungwa katika kilele cha Siku ya Mwananchi na klabu ya Vipers SC lakini ujumbe wao kuhusu Zoezi la Sensa na Makazi umekuwa ni ubunifu mzuri na wa kuigwa.
Rais Joe Biden wa Marekani anailaumu Russia kwa kusababisha ongezeko la bei ya Mafuta na Gesi nchini mwake.
zaidi soma hapa.
-----
President Joe Biden has blamed Russia for the record-high gas prices in the United States, while pressing Congress to temporarily suspend the federal gas tax to...
Kisa kilianzia miaka 20 na iliyopita, nilikuwa na mpenzi wangu mmoja (nilikuwa kijana muaminifu sana kwenye mahusiano). Tulikuwa kwenye mahusiano kwa muda lakini tulikuwa hatujaoana, kwao walinijua na kwetu walimjua. Baada ya mahuasiano ya muda mrefu huyu binti aliugua muda mfupi na kufariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.