Ningependa kuona nyimbo nyingi za zamani ambazo zilitamba na hazikuwa na video zikitengenezewa video. Mad Ice ni kama kashoot video na kama kurudia kuimba wimbo upya, sound ya audio sasa hivi quality imeongezeka
https://youtu.be/IOoi4s4KMzA?si=gI0UjjIWCH7ZOAgj