mad max

  1. Olsea

    Msaada muda wa kubadili oil kwenye gari.

    Habari wakuu,nina gari yenye engine 2sz nilimwaga oil na kubadili oil filter ikiwa na kilomita 95,000 fundi akaandika kwenye service card kuwa natakiwa kumwaga tena ikifika kilomita 98,000.Sasa jana ndyo gari imefikisha hizo kilomita ila leo nimeangalia oil bado ipo vile vile kama mpya ikiwa na...
  2. SILLENT KILLER 2

    Mbona watu hawajadili kuhusu kumiliki ndege, helikopta au meli na boti

    Habari za muda wakuu. Najua mko powa kabisa Ningeomba kujua mbona watu hawajadili kuhusu meli au boti. Au mtu anayetamani kumiliki ndege au helikopta au ndo mimi sijawahi kuona nyuzi humu.Msaada tafadhari.....
  3. Akhi

    Tour in Zanzibar

    Nawasalimu wakubwa na wadogo zangu Mimi ni kijana wa kitanzania Mzalendo ambae napenda kujishughulisha na kupata rizki ya halali Kwa Ambae anatamani kuja Kutembea Zanzibar ila anapata shida mbalimbali naomba wasiliana nami utatembezwa Zanzibar kwa bei nafuu sana mm ni mwenyeji wa Zanzibar na...
Back
Top Bottom