Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani nchini (mpox), Daktari Godfrey Mtunzi Kutoka Manispaa ya Iringa Amesema Makundi ya Watu waliopo hatarini kupata Ugonjwa wa Mpox Ni Madada Poa Wazee Watoto na Wasafiri na kushauri wawe makini kuweza kujikinga na ugonjwa Huu wa mpox.
Wakuu,
Wakati huku kwetu mkuu wa wilaya ya Ubungo akiwa busy kukamata madada poa pale Kitambaa Cheupe, huko Ubelgiji mambo yameendelea kuwa sukari sana.
Hivi karibuni Serikali ya Ubelgiji imetangaza kwamba itaanza kutoa bima ya afya, maternity leave na kulipa madada poa kama watakuwa wanaumwa...
Nawasalimu.
Pale Gongo la Mboto mwisho ikishafika saa moja jioni wanaanza kujitokeza kwenye vichochoro vyao na nguo za kuamsha hisia.
Utasikia "Shemeji nimekupenda ulivyo mrefu mweusi, njoo basi nikupe utamu"
Yaani unaweza kuvunjiwa heshima hivihivi unaona, Tena sasahv wamejaa wale XXL sio...
DC Hassan Bomboko wananchi tungependa kupata mrejesho wa kampeni yako ya kuwafagia madada poa wote Jijini Dar umefikia wapi?
Ulianza kwa kasi sana kuwasaka hawa raia wenye uchu wa fedha kuzidi shetani lakini sasa tunaona kimya nini kinaendelea?
Mikoa mingine kama Mwanza, Arusha, Dodoma na...
Wanawake 36 wa Ubungo waliokamatwa na Mkuu wa wilaya hiyo wakidaiwa Kuwa ni makahaba na kuwekwa lupango siku 5 sasa watamfikisha mahakamani Mkuu huyo wa Wilaya
Wakili Madeleka amesema Wateja wake 36 watamdai Mkuu wa Wilaya ya Ubungo fidia ya TSH 36 billion Kwa kuwadhalilisha
Ameandika Wakili...
Inasikitisha sana kwa wakuu wa wilaya na mapolisi kuvamia guest usiku, na kuwadhalilisha wateja waliolala kama vibaka. Ifahamike kwamba gesti ni biashara kama zilivyo biashara zingine!
Kinachoendelea wilaya ya Ubungo ni udhalilishaji na kuharibiana biashara. Chimbuko la madada poa sio gesti...
Msako uliofanyika Ubungo Riverside unaendelea Sinza. Nadhani muda wa kwenda viwanja mbali na maeneo ya uyu Mkuu wa Wilaya.
Hapa naona ni mitaa ya Vibe Lounge (zamani Corner Bar) Sinza Mori.
Wakuu hawa madada Poa sio Poa kabisa yaani Mimi mkulima wa ufuta ambaye almost miezi mitatu napambana na ufuta wanitapeli na kuniibia madada Poa wa morogoro wale washamba? Kweli simba ni simba hata akipakwa rangi ya pundamilia tu hapa juzi nilikuwa nawasifia madada Poa wa morogoro kumbe siku...
Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili.
Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara hiyo.
Tunaomba moto huu usipoe, bado maeneo ni mengi sana, sisi wananchi tutafichua vichaka vyote...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema limeanza oparesheni maalumu ya kuwasaka wanafunzi wa kike wanaojiuza katika vyuo vikuu na wanaojihusisha na mapenzi ya jinzia moja kwenye kumbi za starehe na eneo la mataa ya kuongozea magari.
Oparesheni hiyo itahusisha wamiliki wa nyumba walizopanga kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.