madai bilioni 28

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kesi ya Kabendera dhidi ya Vodacom yaanza rasmi leo

    Kama ulidhani jambo hili ni utani, basi ulijidanganya, mambo tayari yako Mahakamani. Kesi hii yaweza kuwa fundisho kwa mitandao mingine ya simu inayoshirikiana na Watekaji na Wauaji, hata kama watekaji hao ni Watu wa Serikali Taarifa kamili hii hapa --- Mchakato wa usikilizwaji wa kesi...
  2. O

    Mwandishi Eric Kabendera aelezea jinsi Vodacom Tanzania ilivyomkamatisha kwa vyombo vya Usalama

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imeitaka Kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi, Vodacom kufika mahakamani na kuwasilisha nyaraka inazotarajia kuzitumia katika kujitetea katika kesi ya madai iliyofunguliwa na wanahabari, Erick Kabendera dhidi yake. Katika kesi hiyo...
  3. Erick Kabendera aitaka Vodacom imlipe Dola Milioni 1 kwa kufanikisha kutekwa kwake 2019

    Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa Kufanikisha kutekwa kwake mwaka 2019. Amefanya hivyo kupitia kwa WAKILI wake Peter Madeleka. PIA, SOMA: - Mwanahabari Erick Kabendera akamatwa na Polisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…